![Waimba Sikizeni](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/12/624386e03bb745f39cb55c9043699c48.jpg)
Waimba Sikizeni
- Genre:Gospel
- Year of Release:2015
Lyrics
Waimba Sikizeni - The Saints Ministers
...
Waimba sikilizeni malaika mbinguni Wimbo mtamu sanaah, wapendo Lake bwanaaah.Dunia ni salaama kwa wakosa rehemaa,sisi sote na Na tuimbee nao wale wajumbee. Waimba sikilizeni,malaika mbinguni Nyimbo za sifa kwake mfalme wa Amanii.Waimba sikilizeni malaika Mbingunii,halleluya hosanaah Asifiwe aminaa.Waimba sikilizeni Malaika mbingunii nyimbo za sifa Kwake, mfalme wa amaniii,Waimba Sikilizeni malaika mbingunii,halluya Hosana asifiwe aminaaaah. Ndio bwana wa mbingu tangu Milele,Mungu amezaliwa mwili Mwana wa mwana mwali ametoka Enzini kuja ulimwenguni mwokozI Atufie ili tusipotee.Waimba sikilizeni Malaika mbinguni nyimbo za sifa kwake Mfalme wa amanii,waimba sikilizeni Malaika mbinguni halleluya hosanaa Asifiwe aminaa,waimba sikilizeni Malaika mbinguni nyimbo za sifa kwake Mfalme wa amanii ,waimba sikilizeni Malaika mbinguni halleluya hosanaa Asifiwe aminaaah.Mtukufu wa amanii (ametoka mbingunii),Jua la haki ndiye (atumulikiayee) Amejivua enzi (alivyo na mapenzii) Ataka kutuponya eeeeh (kutuzalisha upya). Waimba sikilizeni malaika mbingunii Nyimbo za sifa kwake mfalme wa Amanii,waimba sikilizeni malaika mbingunii Halleluya hosana asifiwe aminaa, Waimba sikilizeni malaika mbinguni Nyimbo za sifa kwake mfalme wa amanii,waimba sikilizeni malaika Mbingunii,halleluya hosana asifiwe Aminaa. Juu pasi bwanaa(twakutamani Sanaa) kama si mwokozi(vita hatu vi wezii) .
Similar Songs
More from The Saints Ministers
Listen to The Saints Ministers Waimba Sikizeni MP3 song. Waimba Sikizeni song from album Shukrani is released in 2015. The duration of song is 00:06:21. The song is sung by The Saints Ministers.
Related Tags: Waimba Sikizeni, Waimba Sikizeni song, Waimba Sikizeni MP3 song, Waimba Sikizeni MP3, download Waimba Sikizeni song, Waimba Sikizeni song, Shukrani Waimba Sikizeni song, Waimba Sikizeni song by The Saints Ministers, Waimba Sikizeni song download, download Waimba Sikizeni MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
Marthahbrpl
Eunice Adikagp5ni
May God bless us all
Jeremy10
beautiful n inspiring song
Fidel Odiwuor
Waimba sikilizeni,malaika mbinguni,wimbo mtamu sana,asifiwe Amina.
so soft and nice