![Tusichoke Safarini](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/12/1444117d25f34d82a509e8f517214001.jpg)
Tusichoke Safarini
- Genre:Gospel
- Year of Release:2018
Lyrics
Tusichoke Safarini - The Saints Ministers
...
Tusichoke safarini japo mawimbi yapiga tusihofu Mungu yupo
Kiongozi wa mwendo Yesu mwana wa Mungu safari tu salama. (X2)
( chorus)
Usihofu japo safari ndefu Imani daraja yatuvusha ng’ambo,
Twakaribishwa naye kuhani mkuu
Hallelujah tumefika nyumbani
Waweza kuwa na mashaka duniani mwenzangu usitie hofu yupo ,
Aona masumbuko yako yote, yatakwisha tukifika juu (X2)( kanyaga)
Similar Songs
More from The Saints Ministers
Listen to The Saints Ministers Tusichoke Safarini MP3 song. Tusichoke Safarini song from album Mifulizo Ya Baraka is released in 2018. The duration of song is 00:03:42. The song is sung by The Saints Ministers.
Related Tags: Tusichoke Safarini, Tusichoke Safarini song, Tusichoke Safarini MP3 song, Tusichoke Safarini MP3, download Tusichoke Safarini song, Tusichoke Safarini song, Mifulizo Ya Baraka Tusichoke Safarini song, Tusichoke Safarini song by The Saints Ministers, Tusichoke Safarini song download, download Tusichoke Safarini MP3 song
Comments (7)
New Comments(7)
Hadiya Gloria
Julius Masekexfm4v
amen .....imani daraja yatuvusha ng'ambo
Dama moraa4z3wh
Amazing songs
kim cos
my favourite
133761747
Quite an insightful n inspirational song. giving me hope
Samwel daud Kihongo
very good song
Marjorie Rundu
I love this song, I wish I would obtain the lyrics
i love you all my beloved friends in Christ Jesus, may the good Lord reward your efforts