Zangu ni Shukrani
- Genre:Gospel
- Year of Release:2015
Lyrics
Zangu ni Shukrani - The Saints Ministers
...
Nasifu shani zako Elohim safari mbali umenileta sina budi kuzishukuru hisani zako kuu
Nasifu shani zako Elohim safari mbali umenileta sina budi kuzishukuru hisani zako kuu
kwa ukarimu wako nabafikiwa nitatoa nini kwako Bwana mie ni milinzi ulivyoagiza Eden
zangu zangu zangu zanguuu zangu ni shukrani Mungu
Sina neno uwapo karibu nipata lolote si taabu kifo na kaburi haviumi nitashinda kwako
Sina neno uwapo karibu nipata lolote si taabu kifo na kaburi haviumi nitashinda kwako
Nilalapo nikuone wewe gizani mwote nimulikiwe nuru za mbinguni kweli hazikomi siku zangu zote kaa nami Bwana
see lyrics >>Similar Songs
More from The Saints Ministers
Listen to The Saints Ministers Zangu ni Shukrani MP3 song. Zangu ni Shukrani song from album Shukrani is released in 2015. The duration of song is 00:04:55. The song is sung by The Saints Ministers.
Related Tags: Zangu ni Shukrani, Zangu ni Shukrani song, Zangu ni Shukrani MP3 song, Zangu ni Shukrani MP3, download Zangu ni Shukrani song, Zangu ni Shukrani song, Shukrani Zangu ni Shukrani song, Zangu ni Shukrani song by The Saints Ministers, Zangu ni Shukrani song download, download Zangu ni Shukrani MP3 song
Comments (13)
New Comments(13)
Daniel 2jdbc
Judith Johngkvgx
zangu zanguuuu n shukran [0x1f641]
Nabadvdy9
I love this song God bless you
Julius Masekexfm4v
amen
Rael chemutai
[0x1f641][0x1f641][0x1f641]
Mkama TheGiant
zangu ni shukrani Bwana!
maggyi53fd
wow♥️what a nice song♥️
millyew09p
mapenzi yako sasa yatimie, wewe mfinyanzi mimi tope [0x1f653]
Auko Mercy Adhiambo5c8nh
[0x1f60e][0x1f60e]
Mochengo
nice song
121959235
naupenda sana huu wimbo! Mungu aendelee kuwainua
Boyanickzec
wow, wow wow, wow wow wow wow wow wow wow
Zangu ni shukrani Mungu, wonderful singing saints ministers singers.Amen
what a sweet song