
Hongera
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Hongera - Rich Mavoko
...
Yeah yeah baby baby
Oh yeah
Niliambiwa mapenzi upofu
Katu nkatu nikawataliya
Kwako sikuwa na hofu kabisa nikaweka macho ya bandia
Kumbe na nachunga nzinga wa nyuki bilakuhufia kumia
Hadi kwa rafiki nikajenga chuki ili kifuwa kuku kingiya
Ukanipa tunda gizani bilakujuwa lina miba
Kukusahau tena sizani
Nikaweka matanga bila msibaah
see lyrics >>Similar Songs
More from Rich Mavoko
Listen to Rich Mavoko Hongera MP3 song. Hongera song from album Hongera is released in 2019. The duration of song is 00:03:24. The song is sung by Rich Mavoko.
Related Tags: Hongera, Hongera song, Hongera MP3 song, Hongera MP3, download Hongera song, Hongera song, Hongera Hongera song, Hongera song by Rich Mavoko, Hongera song download, download Hongera MP3 song
Comments (8)
New Comments(8)
Mr quatre
Yusuf Ajay
wao keep it up
Deniss Deniss
nakubali sana
MUSSA LUCASia9z4
katika makosa waliyofanya wcb ni kutokuenda sawa na wewe ulivotaka ili uendelee kubaki,, msanii mwenye ladha nzuri ya kipekee [0x1f63f][0x1f63f]
MusahBoom
Hongera [0x1f615]
Kevin Ingunyi osindo
video vpy
Ian Ikada
bana video vipi
Bryl Samm
mavoko hii chupa ni noma saanaaa... Video vipi
courage grand frère