Dogoli ft. S2kizzy
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Dogoli ft. S2kizzy - Country Wizzy
...
I,am taking on and going high My nigga bado sina wengi Leta vitu, far nidrive, Madiga wanataka ni bang bang Pande zote na bang bang Game na bro na my gang gang Na kaba koo kwenye ngoma zao Tuna kill the show kama chain chain So who the f** you think you know me(think you know me) Go get the mulla mama told me(mama told me) The lord horse is what they call me Namuua nyani simtazami usoni If you ain't 'bout money, you ain't know me Pesa inafanya toto ilambe koni Kutoka kwa hood, mpaka kwa wanangu wa chuo kikuu Na mwaka huu, wote tunataka kuenda juu (juu juu juu juu juu juu) Washa dogoli, washa washa washa washa washa Washa dogoli, washa washa washa washa washa Washa dogoli, washa washa washa washa washa Washa dogoli, washa washa washa washa washa Muda ni mchache, mambo ni mengi bado napindua pindua Kilicho na nanda, mi nakuona kama unazingua zingua CountryBoy ukifanya ugomvi, nalipua lipua Kutoka Dar, mpaka Down me nakisanua sanua Mungu ananionyesha miujiza Nyie endeleeni kuigiza Nang'aa mpaka kwenye giza Bongo kam walahi yoh bila viza If you ain't bout money, you ain't know me Pesa inafanya toto ilambe koni Kutoka kwa hood, mpaka kwa wanangu wa chuo kikuu Na mwaka huu, wote tunataka kuenda juu (juu juu juu juu juu juu) Washa dogoli, washa washa washa washa washa Washa dogoli, washa washa washa washa washa Washa dogoli, washa washa washa washa washa Washa dogoli, washa washa washa washa washa
Similar Songs
More from Country Wizzy
Listen to Country Wizzy Dogoli ft. S2kizzy MP3 song. Dogoli ft. S2kizzy song from album Dogoli is released in 2019. The duration of song is 00:02:44. The song is sung by Country Wizzy.
Related Tags: Dogoli ft. S2kizzy, Dogoli ft. S2kizzy song, Dogoli ft. S2kizzy MP3 song, Dogoli ft. S2kizzy MP3, download Dogoli ft. S2kizzy song, Dogoli ft. S2kizzy song, Dogoli Dogoli ft. S2kizzy song, Dogoli ft. S2kizzy song by Country Wizzy, Dogoli ft. S2kizzy song download, download Dogoli ft. S2kizzy MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
16K Kenya
joelling
FISI ft Zombie[0x1f47b]
Saidi Alidi Frenki Tilisi
saidy boy
kevo-kv
nigga unajua
Kali yule boy