
Tujiangalie ft. Nyashinski
- Genre:Afropop
- Year of Release:2019
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Tujiangalie ft. Nyashinski - Sauti Sol
...
Barua toka jaramogi na kenyatta , wanauliza kama kenya kuko sawa, nikawajibu kenya tukona disaster,
watoto wetu wanazidi kuzikana
na tom mboya alishika tama
alituacha angali kijana
je angekuwa mambo yangekuwa sawa ndivyo alivyo panga maulana
deni mulizo acha bado tunalipa na tulikopa zingine China
tukajenga reli pia barabara zilizobaki watu wakasanya,
so tujiangalie(tujiangalie) tuko pabaya leo kuliko jana sikio la kufa halisikii dawa, tuko kwa Twitter tunajibizana, tujiangalie (tujiangalie) tuko pabaya leo kuliko jana tusipo ziba ufa tutajenga kuta tusake zetu tungali vijana.
Waumini kwa mathree na pasi kwa bima, kushoto fungu la kumi sadaka kulia
Ndio maana mbele ya kanisa mheshimiwa anakula sacramenti kabla ya raia ah!
see lyrics >>Similar Songs
More from Sauti Sol
Listen to Sauti Sol Tujiangalie ft. Nyashinski MP3 song. Tujiangalie ft. Nyashinski song from album Afrikan Sauce is released in 2019. The duration of song is 00:03:41. The song is sung by Sauti Sol.
Related Tags: Tujiangalie ft. Nyashinski, Tujiangalie ft. Nyashinski song, Tujiangalie ft. Nyashinski MP3 song, Tujiangalie ft. Nyashinski MP3, download Tujiangalie ft. Nyashinski song, Tujiangalie ft. Nyashinski song, Afrikan Sauce Tujiangalie ft. Nyashinski song, Tujiangalie ft. Nyashinski song by Sauti Sol, Tujiangalie ft. Nyashinski song download, download Tujiangalie ft. Nyashinski MP3 song
Comments (25)
New Comments(25)
Rex vevo
༺Lencie Mya
God rescue us from the hands of the government [0x1f653][0x1f653][0x1f653][0x1f653]#rejectfinancebill2024
vince w3vtx
this is the best ever song by sauti sol, they should make more like this, hua tunaiskiza na familia once in a while, ukweli inasemwa, si wimbo tu
magma mipawa
nice song
rhettpete
Our tomorrow is us, we bring the change together
Jûññïê 601oh
woohoo✨
vokoh masila
You can't change the past, it's out of your hands, so settle down, relax and make a new plan.
vokoh masila
I love the idea of those Who sing in the car; Dance while they eat; Laugh at their own mistakes. I envy these people So in love with just existing.
loose nyambura
amazing awesome song inspiring too
Clarisfrep9
woooiw wooiiw woooow wooooow woooow woooooow wooooow wooooow woooooow wooooooow woooooiw wooooow wooooow wioooiw
Trance Farah fn4fq
✌️
Noma sana