Tujiangalie ft. Nyashinski
- Genre:Afropop
- Year of Release:2019
Lyrics
Tujiangalie ft. Nyashinski - Sauti Sol
...
Barua toka Jaramogi na Kenyatta wanauliza kama Kenya kuko sawa
Nikawajibu Kenya tuko na disaster Watoto wetu wanazidi kuzikana
Na Tom Mboya ameshika tamaa alituwacha kama angali kijana
Jee angekuwa mambo yangekuwa sawa ndivyo alivyo panga Maulana
Deni mulizo wacha bado tunalipa
Na tumekopa zingine China tukajenga reli pia barabara zilizobaki watu wakasanya.
So Tujiangalie Tujiangalie
Tuko pabaya leo kuliko jana
Sikio la kufa haliskii dawa
Tuko kwa Twitter tunajibizana
see lyrics >>Similar Songs
More from Sauti Sol
Listen to Sauti Sol Tujiangalie ft. Nyashinski MP3 song. Tujiangalie ft. Nyashinski song from album Afrikan Sauce is released in 2019. The duration of song is 00:03:41. The song is sung by Sauti Sol.
Related Tags: Tujiangalie ft. Nyashinski, Tujiangalie ft. Nyashinski song, Tujiangalie ft. Nyashinski MP3 song, Tujiangalie ft. Nyashinski MP3, download Tujiangalie ft. Nyashinski song, Tujiangalie ft. Nyashinski song, Afrikan Sauce Tujiangalie ft. Nyashinski song, Tujiangalie ft. Nyashinski song by Sauti Sol, Tujiangalie ft. Nyashinski song download, download Tujiangalie ft. Nyashinski MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
Delloh Clinton
Bradley Nyasani
tommboya[0x1f614][0x1f614][0x1f614]
177339288
yes we tujiaangalie because we're on the way to build ujama[0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e]
Beckyowcb6
The song is a hit that wraps up the situations we are living in today.....
Dee0f1xa
yooh this song still hits till today
[0x1f614][0x1f614]my 254