
Tulia Kwangu
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Tulia Kwangu - Ben Pol
...
Naona raha nimepata furaha maishani Na kila saa naona nuru ikinģara moyoni na kama waoo walidhani hatutadumu pendoni tazama leoo watuona vichwa wainama chini (chorus) coz this love i was men to be niamini i will your baby Nafanya utakalo ubaki nami daima nami coz this love i was men to be niamini i will your baby Nafanya utakalo ubaki nami daima nami something about youu una rangi yakipekee beibe tulia kwangu bustani yangu inģare siku zote something about youu una rangi yakipekee beibe tulia kwangu unilinde tusitengane maisha yotee Tukigombana haina manaa kuyaanika majirani wajuee kazi buree nimekukosea umenikosea hakuna binaadam alie kamilika muhimu msamaha na kutambua yakwamba moyo wangu umekuchagua coz this love i was men to be niamini i will your baby Nafanya utakalo ubaki nami daima nami coz this love i was men to be niamini i will your baby Nafanya utakalo ubaki nami daima nami something about youu una rangi yakipekee beibe tulia kwangu bustani yangu inģare siku zote something about youu una rangi yakipekee beibe tulia kwangu unilinde tusitengane maisha yotee something about youu una rangi yakipekee beibe tulia kwangu bustani yangu inģare siku zote something about youu una rangi yakipekee beibe tulia kwangu bustani yangu inģare siku zote something about youu una rangi yakipekee beibe tulia kwangu unilinde tusitengane maisha yote coz this love i was men to be niamini i will your baby Nafanya utakalo ubaki nami daima nami coz this love i was men to be niamini i will your baby Nafanya utakalo ubaki nami daima nami
Similar Songs
More from Ben Pol
Listen to Ben Pol Tulia Kwangu MP3 song. Tulia Kwangu song from album Maboma (Deluxe Edition) is released in 2020. The duration of song is 00:03:52. The song is sung by Ben Pol.
Related Tags: Tulia Kwangu, Tulia Kwangu song, Tulia Kwangu MP3 song, Tulia Kwangu MP3, download Tulia Kwangu song, Tulia Kwangu song, Maboma (Deluxe Edition) Tulia Kwangu song, Tulia Kwangu song by Ben Pol, Tulia Kwangu song download, download Tulia Kwangu MP3 song