Ongeza Sauti
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Ongeza Sauti - Doyen Rae
...
(Riser)
Vipi niongeze sauti kidogo
Au niongeze sauti kidogo
Maswali chungu nzima Riser vip mbna huachii ngoma, kujibu sio lazima, sawa kiki vip chuma ikigoma,
Najua ni riziki tu na kinachonikwamisha ni dhiki tu, na sasa ni muziki tu, najua sitoishia kuishi tu
Hatunywi sumu hatujinyongi, na wala namba hatuisomi, acha wahuni tugonge nyagi, wewe tafuna ndimu.
Ukiamua tu kuwa konkii, epuka undugu na mazombie, jiburudishe na k vant, acha wendawazimu... eeeh
Vipi niongeze sauti kidogo.... inatosha
Au niongeze sauti kidogo.... mh inatosha Vipi niongeze sauti kidogo.... inatosha
Au niongeze sauti kidogo.... mh inatosha
see lyrics >>Similar Songs
More from Doyen Rae
Listen to Doyen Rae Ongeza Sauti MP3 song. Ongeza Sauti song from album Ongeza Sauti is released in 2020. The duration of song is 00:02:29. The song is sung by Doyen Rae.
Related Tags: Ongeza Sauti, Ongeza Sauti song, Ongeza Sauti MP3 song, Ongeza Sauti MP3, download Ongeza Sauti song, Ongeza Sauti song, Ongeza Sauti Ongeza Sauti song, Ongeza Sauti song by Doyen Rae, Ongeza Sauti song download, download Ongeza Sauti MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
Jacksonar7fq
104550857
good keep it up
60magic
song is so sweet yooh
harunibalayewa
wow! love da song
Hot one