Ongeza Sauti Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Ongeza Sauti - Doyen Rae
...
(Riser)
Vipi niongeze sauti kidogo
Au niongeze sauti kidogo
Maswali chungu nzima Riser vip mbna huachii ngoma, kujibu sio lazima, sawa kiki vip chuma ikigoma,
Najua ni riziki tu na kinachonikwamisha ni dhiki tu, na sasa ni muziki tu, najua sitoishia kuishi tu
Hatunywi sumu hatujinyongi, na wala namba hatuisomi, acha wahuni tugonge nyagi, wewe tafuna ndimu.
Ukiamua tu kuwa konkii, epuka undugu na mazombie, jiburudishe na k vant, acha wendawazimu... eeeh
Vipi niongeze sauti kidogo.... inatosha
Au niongeze sauti kidogo.... mh inatosha Vipi niongeze sauti kidogo.... inatosha
Au niongeze sauti kidogo.... mh inatosha
(Doyen)
Mimi ndo yule fundi wa kuremba mwandiko wa utunzi ooh,
Najua mna bundi, ndo maana nawapa siri ya mutungi!
Ukilala sita tisa osha mdomo mara sita
Tatizo sio kitita, ni uhakika wa kufika
Hatunywi sumu hatujinyongi, na wala namba hatuisomi, acha wahuni tugonge nyagi, wewe tafuna ndimu.
Ukiamua tu kuwa konkii, epuka undugu na mazombie, jiburudishe na k vant, acha wendawazimu... eeeh
Vipi niongeze sauti kidogo.... inatosha
Au niongeze sauti kidogo.... mh inatosha
Vipi niongeze sauti kidogo.... inatosha
Au niongeze sauti kidogo.... mh inatosha
(Riser)
Hatuishi milele, acheni kelele, na veherehere
Burudani iendelee,
(Doyen)
Sisi tupo tele, na manyimbo mbwerere, maufundi kedekede burudani iendelee