![Njia ft. Bridget Blue](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/32/BA/rBEeqFwFEaaAVG1EAADMSHi1_N8285.jpg)
Njia ft. Bridget Blue
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Njia ft. Bridget Blue - King Kaka (Rabbit)
...
VERSE 1] Okey Nimegrow empty of late Na my soul ni see through My mum is still sick ikifika usiku Four niko by my bed side just in case Na honestly na miss our happy days You are a fighter mum, manze God akubless As much as me ni Big Boss na learn Usiku huwanga na toss na turn Na ukifeel pain Huwanga na ifeel pia Sa zingine hata hope inadidimia Hakuna story maana hapa manze me hulia Na kama size inapeleka wasee huko kwa sky Kwani dawa ya mum ndo mmeshindwa ku hire? Ata nimechukua car keys mum niko kwa ndae Na God siku question najua we ndo answer Lini miracle itaanza? [CHORUS] Nipe jibu kama Baba unanisikia Na kama unanisikia Nionyeshe ile njia nitapitia Nipe jibu kama Baba unanisikia Na kama unanisikia Nionyeshe ile njia nitapitia Swali nina maswali Swali nina maswali Swali [VERSE 2] Okey Nimegrow empty of late Na my soul ni see through Hii safari bila taa ni kama msitu Ulisema you are the way, the truth, the life Macho yangu iko kwa sky nionyeshe ka light And am not questioning, sijai kudub kabisa Niliambiwa stude mzuri ni maswali atauliza How comes, mum, anaugua miaka zote How comes, mum, haponi na hizi dawa zote Na hawa madaktari wanani take in cycles Sijaweka imani kwao, nimeweka imani kwako Sometimes niko impatient juu hauko on time Labda sijafikiwa, request yangu iko ka line You've shown me before, show me one more time Umenibless sikatai lakini vile mum anaugua haifai [CHORUS] Nipe jibu kama Baba unanisikia Na kama unanisikia Nionyeshe ile njia nitapitia Nipe jibu kama Baba unanisikia Na kama unanisikia Nionyeshe ile njia nitapitia Swali nina maswali Swali nina maswali Swaliii [BRIDGE] Unajua... Najua God umenibless yaani and am not... Ati...ati nakuzushia or anything ...sikuzushii manze Najua this is a song ...and nafaa ni rhyme and all But I feel....nataka tu tuhave one on one yaani And...and am not being ungreatful yaani Me wasee wanacheki life yangu and they see I have a beautiful family nini But God please manze.....ata kama ni test its enough yaani Si we ndo the answer....hii test umenipea ni kama nimefail yaani We ndo the answer... Please...please....tafadhali...please manze (woooh uwoo uwoooh owooo ) [CHORUS] Nipe jibu kama Baba unanisikia Na kama unanisikia Nionyeshe ile njia nitapitia Nipe jibu kama Baba unanisikia Na kama unanisikia Nionyeshe ile njia nitapitia
ps://afrikalyrics.com/en/king-kaka-njia-lyrics
Similar Songs
More from King Kaka
Listen to King Kaka Njia ft. Bridget Blue MP3 song. Njia ft. Bridget Blue song from album Eastlando Royalty is released in 2018. The duration of song is 00:04:35. The song is sung by King Kaka.
Related Tags: Njia ft. Bridget Blue, Njia ft. Bridget Blue song, Njia ft. Bridget Blue MP3 song, Njia ft. Bridget Blue MP3, download Njia ft. Bridget Blue song, Njia ft. Bridget Blue song, Eastlando Royalty Njia ft. Bridget Blue song, Njia ft. Bridget Blue song by King Kaka, Njia ft. Bridget Blue song download, download Njia ft. Bridget Blue MP3 song
Comments (9)
New Comments(9)
Deleted User
awesomeness
DJ DDA 254
Bridget Blue killed it [0x1f60d]
Vinnix K
Swaliiii Tuskie maombi zetu baba
kennepps
Bridget Blue made this great [0x1f621][0x1f621]
fred music
Dope
Nord Berht Muthomi
Endelea kutema kaka.... tunangoja vibao kwa wingi juu mwaka
Ivyzawi
awesomeness
Jael Chebby
Bridget got voice [0x1f60d]
fellahcgkj3
dope
ok