- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Sina Raha - Sam Wa Ukweli
...
Mmmmmh aaaah
Mmmmh
Kila siku mimi naumia na mawazo Wapi ntapata mke mwema maishani Wa kunifuta machozi
Nikasahau vile nilipotendwa zamani Naona kama ngekewa ah
Mtoto mzuri kuwa nami maishani
Ninachomwambia ananielewa
Nampenda ananipenda sitomwacha silaani
Gari pesa sina
Ndio maana nakueleza mchumba We wa gari na nyumba ama pesa ndio uchumba
Bora unieleze mchumba
see lyrics >>Similar Songs
More from Sam Wa Ukweli
Listen to Sam Wa Ukweli Sina Raha MP3 song. Sina Raha song from album Bongo Flava Hits & Classics is released in 2018. The duration of song is 00:04:06. The song is sung by Sam Wa Ukweli.
Related Tags: Sina Raha, Sina Raha song, Sina Raha MP3 song, Sina Raha MP3, download Sina Raha song, Sina Raha song, Bongo Flava Hits & Classics Sina Raha song, Sina Raha song by Sam Wa Ukweli, Sina Raha song download, download Sina Raha MP3 song
Comments (27)
New Comments(27)
Almahgujs5
halima0emcm
nilikua mdogo yaan
Aneth dty04
[0x1f640]
Lucriciac7d78
[0x1f623][0x1f623][0x1f623]
603959ip7ph
Daaah ❤️
selina nyongole3j526
rip mwamba
Jah Bless you Sam wa ukwel huk paradise nyimb hii inanikumbush kipind hichoo nikiw chali mdogo xnaa Salute kwk ujumbe uliuacha kama ulivyo....
maureenqmgvz
soooo nice i love it
Rahel Mtenukila
rest in peace Same ila nyimbo hii tunaielewa wenyewe wahenga tuu❤️
Ramadhan Simbeye6mnrb
nimemiss sana enzi zake[0x1f625][0x1f625][0x1f625][0x1f625]
Clinton Okwemba
nyimbo tamu
stam i1rvk
Eee bwana hii ndyo inanigusa kila nikipenda
![Image | Boomplay Music](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/23/a5d3bd7cc4a1482d984e100f79d27712.jpg)
I still remember the day u left us sam nililia saana io siku na maumivu nlkua nakupenda sana jamani zidi kupumzika mahali pema na mziki wako mzuri❤️