
Tumaini Letu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2025
Lyrics
Tumaini Letu - THE LIGHTBEARERS TZ
...
Lyrics by Samwel mrimi
BEAT. .......
Ni kweli amelala (Amelala) yuko kimya hasemi tena, ni ngumu kuamini (kuamini) amelala bado mapema.
Japo mioyo yetu inalia (sana), sura zetu zimejaa huzuni, tunadhani bado yuko nasi lakini kifo ni fumbo kubwa.
Familia inamlilia sana na watoto nao wanalia, marafiki tunaomboleza, huduma yake tunaikosa.
Liko wapi tabasamu lake, uko wapi na ucheshi wake, tunalia (tunalia) tunaomboleza maisha yatakuaje.
Chorus ........
Tumaini letu ni kwa Bwana aliye hai, atatufuta machozi na vifo vitakoma, tunaamini ya kuwa liko tumaini kwa wamchao Bwana, siku wakilala watafufuliwa na Bwana ×2
BEAT .............
Mama (Aaahh) analia (analia) kwa uchungu na Baba pia (na watoto), Dada nao ndugu (nao ndugu) ni simanzi imetawala,
see lyrics >>Similar Songs
More from THE LIGHTBEARERS TZ
Listen to THE LIGHTBEARERS TZ Tumaini Letu MP3 song. Tumaini Letu song from album Tumaini Letu is released in 2025. The duration of song is 00:05:58. The song is sung by THE LIGHTBEARERS TZ.
Related Tags: Tumaini Letu, Tumaini Letu song, Tumaini Letu MP3 song, Tumaini Letu MP3, download Tumaini Letu song, Tumaini Letu song, Tumaini Letu Tumaini Letu song, Tumaini Letu song by THE LIGHTBEARERS TZ, Tumaini Letu song download, download Tumaini Letu MP3 song