![Usinikumbushe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/31/0ba5100c997a4e7fb38865d43465fe85H3000W3000_464_464.jpg)
Usinikumbushe
- Genre:Gospel
- Year of Release:2025
Lyrics
Alikuja nyumbani na tabasam
Akanikuta ninauzuni nyingi moyoni
Akaniambia mwanangu Husiwe ivyo
Nime wasamea watu wengi kuliko wewe
Nilimsameya Sauli haliye Watesa watu wangu uhuuu
Na wewe usiwe ivyo usiwe ivyo
Nitakusameya hingawa ukitubu
Najuwa unafaamu Historia Yangu ya zamani
Ila isikupe mashaka Kwasababu ninaye Yesu
Najuwa wajiuliza maswali mengi kwa nini
Ila nimebadilisha historia yangu
Yeye aliye badilisha sauli Ndiye kanibadilisha na mimi
see lyrics >>Similar Songs
More from Joshua Patrick Ependo
Listen to Joshua Patrick Ependo Usinikumbushe MP3 song. Usinikumbushe song from album Usinikumbushe is released in 2025. The duration of song is 00:03:05. The song is sung by Joshua Patrick Ependo.
Related Tags: Usinikumbushe, Usinikumbushe song, Usinikumbushe MP3 song, Usinikumbushe MP3, download Usinikumbushe song, Usinikumbushe song, Usinikumbushe Usinikumbushe song, Usinikumbushe song by Joshua Patrick Ependo, Usinikumbushe song download, download Usinikumbushe MP3 song