Usinikumbushe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2025
Lyrics
Alikuja nyumbani na tabasam
Akanikuta ninauzuni nyingi moyoni
Akaniambia mwanangu Husiwe ivyo
Nime wasamea watu wengi kuliko wewe
Nilimsameya Sauli haliye Watesa watu wangu uhuuu
Na wewe usiwe ivyo usiwe ivyo
Nitakusameya hingawa ukitubu
Najuwa unafaamu Historia Yangu ya zamani
Ila isikupe mashaka Kwasababu ninaye Yesu
Najuwa wajiuliza maswali mengi kwa nini
Ila nimebadilisha historia yangu
Yeye aliye badilisha sauli Ndiye kanibadilisha na mimi
Yeye aliye mbadilisha sauli Ndiye kanibadilisha namimi
Yakale
Yakale mwiko sirudi yakale Mwiko siyatazami
Yakale
Yakale mwiko wala Sirudi Yakale mwiko siyatazami
Aliye nihokowa
Ndiye mwokozi
Kanisamea zambi
Ndiye mwokozi
Alinifia msalabani
Ndiye mwokozi
Akabeba zambi zangu
Ndiye mwokozi
Ulinitowa Omama Apo nyuma
Nikafanya mambo mengi Yasio kuwa ya maana Kwamana
Shetani alinipata nalikuwa Uchi
Kama mnyama kwaneema Ya bwana wokovu Nimeuona vyema
Yakale mwiko no kurudi
Na hangalia kristo Ho my God
Naapa nilipo naweka juudi
Na kwenda na bwana ni my God
Wakunitenga naupendo wa baba
Hakuna
Kuishi ni yeye nakufa
Faida
Nipo free nipo free nipo Free ndo kwamaana naubiri injili
Nipo free nipo free nipo Free kwaleo nimejuwa ukweli
Kuna uyo baba yenu na uyu wangu
Aliye kuwa yu Namna Mungu
Na kwajili yangu ameacha Mbingu
Ili kuja kunikombowa Mimi
Yesu yesu yesu
Oh my God
Thank you God
Yakale
Yakale mwiko sirudi yakale mwiko siyatazami