
Now a days
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2025
Lyrics
Now a days kupata mtu true imekua rare
Media wanarusha vitu false kwenye hewa
Hakuna wakuamini labda mungu wakutegemea
Hakuna leaders wote ni matumbo ya sio shiba
Kuamka bila food kwa meza hio ni kitu kawa
Kula na kushiba kwetu sikitu kawa
Kuna wale hawakusoma wao ndio hupeana ajira
Degree imekua pillow skuinvest kwa biashara
Tunafight for the better hakuna freedom inaeza kuja ukiwa coward
Kuproof ukona nyota avoid kurudi nyuma
Usilale usilegee kiburi weka mbele
see lyrics >>Similar Songs
More from Esir
Listen to Esir Now a days MP3 song. Now a days song from album Now a days is released in 2025. The duration of song is 00:02:45. The song is sung by Esir.
Related Tags: Now a days, Now a days song, Now a days MP3 song, Now a days MP3, download Now a days song, Now a days song, Now a days Now a days song, Now a days song by Esir, Now a days song download, download Now a days MP3 song