Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2025

Lyrics

Now a days kupata mtu true imekua rare

Media wanarusha vitu false kwenye hewa

Hakuna wakuamini labda mungu wakutegemea

Hakuna leaders wote ni matumbo ya sio shiba


Kuamka bila food kwa meza hio ni kitu kawa

Kula na kushiba kwetu sikitu kawa

Kuna wale hawakusoma wao ndio hupeana ajira

Degree imekua pillow skuinvest kwa biashara

Tunafight for the better hakuna freedom inaeza kuja ukiwa coward

Kuproof ukona nyota avoid kurudi nyuma

Usilale usilegee kiburi weka mbele

Kuna milango inataka nguvu ndio ifunguke

Dua bila dhambi hio ni maombi ya bure

Mkidhani mmeniangusha nasimama na ujasiri

Mkidhani mi ni msiri mi si msiri pilipili ikiniwasha nabobokwa mtabiri


Now a days kupata mtu true imekua rare

Media wanarusha vitu false kwenye hewa

Hakuna wakuamini labda mungu wakutegemea

Hakuna leaders wote ni matumbo ya sio shiba


Fungeni njia bado naeza paa

Usieke nia usingizini hio nakataa unapokula mzaza jua kuna mzaha

Na pia unapokosa kumbuka msamaha

Hakuna haki inaotendeka bila ovu

Tenda dhambi alafu wema hapo manufaa

Lakini wema alafu dhambi hapo ni majanga

Balaa Au hapo ni matanga

Wanasema baada ya dhiki ni faraja sijai pitia dhiki na nimejawa na furaha

Kuna wenye kuzubaa kivyovyote watalaala

Na wenye kungangana kivyovyote watapaa

Watu feki nawaahidi mtanikuta juu

Na wenye kuningata nyote nawazoom

Kimziki niko chini maproducer wanafume

Ofcourse hii ni truth Wanatry kunisnooze

Lakini Watafeli kama chelsea blues


Now a days kupata mtu true imekua rare

Media wanarusha vitu false kwenye hewa

Hakuna wakuamini labda mungu wakutegemea

Hakuna leaders wote ni matumbo ya sio shiba

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          If you have any questions, please feedback on Boomplay App or send an email to [email protected].

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status