- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Mda mwingine nakosa raa mara wewe wanipa fura hata kama nahisi njaa mara wewe wanipa chakula,
Upendo wako kwangu haulinganishwi,msalabani ulikufaa ili niishi
Nyasae Ngai Mulungu eeh,lukundo lwako lolii lwachumba lwa mundu
Nyasae Ngai Mulungu eeh lukundo lwako lolii lwachumba lwa mundu
Wacha nikuimbie sifa nikusifie magoti nikupigie na yote nikufanyie mana wewee
Nimwema' tajiri wa moyo wangu' nimwema'
Nitakuambia mie 'nimwema'
Siku zote za maisha yangu nimwema'
Eee baba nimwema' tajiri wa moyo wangu' nimwema'
Nitakuambia mie 'nimwema
Siku zote za maisha yangu
see lyrics >>Similar Songs
More from Peter Blessing
Listen to Peter Blessing Mwema MP3 song. Mwema song from album The Clap is released in 2023. The duration of song is 00:03:26. The song is sung by Peter Blessing.
Related Tags: Mwema, Mwema song, Mwema MP3 song, Mwema MP3, download Mwema song, Mwema song, The Clap Mwema song, Mwema song by Peter Blessing, Mwema song download, download Mwema MP3 song