Mwema Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Mda mwingine nakosa raa mara wewe wanipa fura hata kama nahisi njaa mara wewe wanipa chakula,
Upendo wako kwangu haulinganishwi,msalabani ulikufaa ili niishi
Nyasae Ngai Mulungu eeh,lukundo lwako lolii lwachumba lwa mundu
Nyasae Ngai Mulungu eeh lukundo lwako lolii lwachumba lwa mundu
Wacha nikuimbie sifa nikusifie magoti nikupigie na yote nikufanyie mana wewee
Nimwema' tajiri wa moyo wangu' nimwema'
Nitakuambia mie 'nimwema'
Siku zote za maisha yangu nimwema'
Eee baba nimwema' tajiri wa moyo wangu' nimwema'
Nitakuambia mie 'nimwema
Siku zote za maisha yangu
Ulinyang'anya shetanii funguoo ooo
Maishani wewe ni kimbilioo oooo
Jionyesha baba wakuone,maadui number waisome wema wako Wacha utawale ufikie mpaka wasojale