- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Tabibu - Ibrah Nation
...
Tatizo ni nini mama,mbona hatuelewani
Umerudi usiku saana,na umeletwa na nani swali ni rahisi saana, unazunguka tu
Ukishindwa unatukana na kununa juu Natamani turudi enzi
Ulizoniitaga my darling usiku unaniita tulale nikukumbatie Nakumbuka yale mapenzi Yalionifanya nisiwaze Leo umenizoea unaniona mi fala wee
CHORUS
Naona kama nikuache... Tabibu wangu
Labda nikiondoka ndo utajua... Umuhimu wangu Naona kama nikuachilie...
Tabibu wangu Labda nikiondoka ndo utajua...
Umuhimu wangu
see lyrics >>Similar Songs
More from Ibrah Nation
Listen to Ibrah Nation Tabibu MP3 song. Tabibu song from album Tabibu is released in 2018. The duration of song is 00:03:35. The song is sung by Ibrah Nation.
Related Tags: Tabibu, Tabibu song, Tabibu MP3 song, Tabibu MP3, download Tabibu song, Tabibu song, Tabibu Tabibu song, Tabibu song by Ibrah Nation, Tabibu song download, download Tabibu MP3 song
Comments (8)
New Comments(8)
leevathyb9b26
ericephatt
unyama mwng
Maulid Hassani
unajua
JAY SNEAR TZ
noma
Keega7
Good Song
Irene Elphas
iko good
nice♥️