![Nyota Ya Mashariki](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/7A/9A/rBEeMVsw8hqAFGhBAADv4KIMzGk883.jpg)
Nyota Ya Mashariki
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Nyota Ya Mashariki - KMK MAKUBURI
...
Kakukirimia, uwe ulivyo,
Atakutumia impendezavyo
Akikuinua, inuka, hivyo,
Ninakuombea heri vilivyo;
Hakunipa hayo, nikuhitaji,
Kwa niliyo nayo, upate maji,
Na mwisho wa hayo, tuvikwe taji,
Tuingie nayo, wa mbingu mji.
Nimeiona nyota yako mashariki (nyota yako)
Ninajivuna inavyong'ara rafiki (helelelele)
see lyrics >>Similar Songs
More from KMK MAKUBURI
Listen to KMK MAKUBURI Nyota Ya Mashariki MP3 song. Nyota Ya Mashariki song from album Mimina Neema is released in 2016. The duration of song is 00:06:05. The song is sung by KMK MAKUBURI.
Related Tags: Nyota Ya Mashariki, Nyota Ya Mashariki song, Nyota Ya Mashariki MP3 song, Nyota Ya Mashariki MP3, download Nyota Ya Mashariki song, Nyota Ya Mashariki song, Mimina Neema Nyota Ya Mashariki song, Nyota Ya Mashariki song by KMK MAKUBURI, Nyota Ya Mashariki song download, download Nyota Ya Mashariki MP3 song
Comments (19)
New Comments(19)
Greyson gyeson
Markis1mfi
Nyimbo iko vizur
Colya11
Hii nyimbo nakumbuka mbali sana kipindi Mtumishi kanisa la Mt Joseph Parokia ya Nzovwe Jimbo kuu la Mbeya.. [0x1f640]
Deapak bigsmall
i feel better with these roman Catholic songs ,,God bless you all who made this
loveness iq8tp
mbariikiwe san wanakwaya wa mt. kizito
Washa Washa makunyanga.
nice
![Image | Boomplay Music](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/24/3e8cd335053c4fa9bc27ae528feecaa3.jpg)
152275438
[0x2728][0x1f613][0x1f612][0x1f623]ameen
aidanusid7zj
nyota ya mashark
Perpetua Nicolaus
Amen happy sunday
tarimouhu6p
aminaaaaaaaaaasaaaaa[0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e]
Apon Kamaleki
Mbarikiwe sana wanakwaya ya Mt.Kizito
waooo[0x1f623][0x1f623][0x1f623]]so good