![Nimeonja Pendo](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/6D/A9/rBEeMVqndvCAdDMPAACtP6MlGTc496.jpg)
Nimeonja Pendo
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Nimeonja Pendo - KMK MAKUBURI
...
nimeonja pendo lako nimejua u mwema,, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu weee,,nitawaongoza vyema, waimbe kwa furaha,, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu weee, ukarimu wako (Bwana) na huruma y'ako( wewe) msamaha wako(Bwana) na upole wako (wewe) umenitendea wema usio pimika nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,,
kinammaa simameni piga vigelegele, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,, na kina baba nyanyuka mkapige makofii, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,, ukarimu wako (Bwana) na huruma y'ako( wewe) msamaha wako(Bwana) na upole wako (wewe) umenitendea wema usio pimika nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,,
watu wote nesa nesa chezeni kwa furaha nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,, inua mikono juu mshangilieni Bwana nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe ukarimu wako (Bwana) na huruma y'ako( wewe) msamaha wako(Bwana) na upole wako (wewe) umenitendea wema usio pimika nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,,
watawa washangilie makasisi waimbe,, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe, walei warukeruke waseme aleluya nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe .ukarimu wako (Bwana) na huruma y'ako( wewe) msamaha wako(Bwana) na upole wako (wewe) umenitendea wema usio pimika nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,,
vitambaa mikononi vipeperushwe juu nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,, na vichwa vuyumbe yumbe kwa mwendo wa kuringa, nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,,ukarimu wako (Bwana) na huruma y'ako( wewe) msamaha wako(Bwana) na upole wako (wewe) umenitendea wema usio pimika nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,,
nitakushukuru mi-m na nyumba yangu yote nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe, nitaleta na zaa-ka ya maisha yangu yote nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,,ukarimu wako (Bwana) na huruma y'ako( wewe) msamaha wako(Bwana) na upole wako (wewe) umenitendea wema usio pimika nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe,,
Similar Songs
More from KMK MAKUBURI
Listen to KMK MAKUBURI Nimeonja Pendo MP3 song. Nimeonja Pendo song from album Tumfanyie Shangwe is released in 2014. The duration of song is 00:06:03. The song is sung by KMK MAKUBURI.
Related Tags: Nimeonja Pendo, Nimeonja Pendo song, Nimeonja Pendo MP3 song, Nimeonja Pendo MP3, download Nimeonja Pendo song, Nimeonja Pendo song, Tumfanyie Shangwe Nimeonja Pendo song, Nimeonja Pendo song by KMK MAKUBURI, Nimeonja Pendo song download, download Nimeonja Pendo MP3 song
Comments (22)
New Comments(22)
Emmanuel Mukyewa
142888758
wimbo mzuri ssana huu
![Image | Boomplay Music](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/15/25b10cf7f25a4dff8b9aec29f0f66aa5.jpg)
Agostino Menyeicgcq
kazi yenu nzuri saaana
rifa marioo
wimbo wenyewe unapendeza asantiii
Anas muhammadcn6m2
wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow
Jim Lee12
N i c e e e e e e e e e e ee. Ee. Ee
Phred Fc2
Nitakushukuru kwa kunipenda mimi mwenye dhambi upendo wako ndio uninipa rehema
Anas muhammadcmdpf
wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow
Teacher ekun0
nafarijika sana na wimbo huu.
Ndowo boy
uuu
EMMANUEL LUCAS bivor
wimbo mzuri...naupenda maana huwa unanikosha sana
EMMANUEL LUCAS bivor
wimbo mzuri huwa nikisikiliza nafarijika sana
nice waawoo