Session 3
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Session 3 - Young Lunya
...
o my nifanye hii kama sifanyi tena kudadeki bobo am taking bongo rap to the next levels
mwambieni yule mtoto moto huu haikingii kamwe kitonga atachopata ni wifi tu
kwanacho kifanya katika round hii hapati ata sale maana nimeanza na plan b young king
flow zao za kitozi zmekataliwa ni uchafu kama kinga zilizovaliwa
mi nataka kile kiti kilichokaliwa usimind mi kuchana sana babu mi ndo nilivyozaliwa
sikia sasa mi nazisaka chapa nikijikita kapuni nabonga na lamata najichorea mistari kisha naingia chaka nikirudi nakamata navyovipenda dj choka sanchoka sina muda wa kubshana na vijana feki ukiniona na tajiri basi napishana benki mimi na wanangu kama samata na genk uwezi kuleta story za kimama bata point omg ipo that is my dream team chuo cha rap bongo tulishahitimu matozi wanapo jikuta wenda wazimu ndio unanidai ila umenikuta nawahi gym nishawahi kuwa nalala studio naombea pakuche sa hivi hamna shida ghetto mashuka meupe mama zako wananiganda ganda kama kupe baada ya hii session naenda zangu zenji kula pupwe here come marap wabovu nawafyeka ukiona baby kali ipo na mimi nmejieka ushauri sitaki ujana nitaacha nikizeeka nawala kisha nafungulia sound home theatre mjomba calm down relax sit back mi shabiki wa damu wa msimbazi simba kwa kukinukisha nimelikalisha kimba panya mpaka kafika cha kukushuri chimba tafika pakaulipo fata pesa zilipo piga pini pande zote hallelujah willy paul brand kubwa filipo sitishiwi na vitisho vina vimepangiliwa mwanzo kati na mwisho nafanya yangu i got no f**ks to give fighting for my life to live nipo studio we unamuita waiter leta kama tulivyo shida yako we wa kitambo umechakaa tatizo truth hurts couple leta hela na muziki ****
ngoma back back he is back to back he is back to back for a party to party keep black and black kula skirt and black kulopoka na kuleta brah brah hatutaki ndo manana nazidi kufanya nazikusanya m nazidi kuhanaya nazidi kuwakanyaaga na njia za panya naidea za chanya mna ibia nikifanya
nakibanda chetu wanataka nifall wanataka niwe kama before hawataki nikisanue joh mi nataka nizikamue flow siachi mpaka wanikwalue roho mi sinaga maruerue no kiwalani imeniagiza dooh sasa basi vya burebure no nonono no shore sikuposti japo its your birthday leo page ina mambo mengi we kua mpole ama take off for your first day madada wa mjini bwana usiwape gambe utasikia hiyo ngoma yako mbona pambe zangu m nikuwapiga pini you gonna cum bee juu ya beat bobo ngoma kambele yeaah here we go here we go ili dundo madawa ya kulevya illegal sie wahuni tunafata pesa ilipo haya sasa kama unavyotuona here we go here we go shipapi kama kali na aika for a speed like a fast car.....preach preach like am a pastor aim a super star dont you know maf*** mi nipombe usiniombee tukuombee na marapper wako wabovu wabovu usinicompee msinicompee msijikombee nyie maslay queen me sio danga msinigombee gombee ukishindwa kutunza familia ukirudi utakuta no party is on na wanaojiuza watamuuzia nani na pengine utakuta no party is on sasa kwa wale wanaotaka vitu tutapigania wapi no fighting zone kwenye crew yangu we unamuweza nani sio me, cornboy nobody no
we out here
roof top ent baby
see lyrics >>Similar Songs
More from Young Lunya
Listen to Young Lunya Session 3 MP3 song. Session 3 song from album Session 3 is released in 2020. The duration of song is 00:04:12. The song is sung by Young Lunya.
Related Tags: Session 3, Session 3 song, Session 3 MP3 song, Session 3 MP3, download Session 3 song, Session 3 song, Session 3 Session 3 song, Session 3 song by Young Lunya, Session 3 song download, download Session 3 MP3 song
Comments (59)
Top Comments (4)
Valence bwoi
Hancmed
ngoma nailewa kila dakika kila saa naiona kama mpya vile>
vincrbc4
[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]>
New Comments(59)
Scanty blizz
good
Sochineme$
nice
Robert 5wjj6
If you have zenith Bank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Online cheque deposit .. I have a direct zenith log tools now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank account.. don't give me new account within 5 hours time the job is done +2347036681271
Robert 5wjj6
If you have zenith Bank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Online cheque deposit .. I have a direct zenith log tools now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank account.. don't give me new account within 5 hours time the job is done +2347036681271
masternyundo
mizuka mingi nikiwa na lunya popote vibe kama lote
Ally Mpoyo
oy uko vizuri kinoma
John Johnwz
mmmmmmmmmmh
Me shabiki damu wa msimbaz simba.... wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow
Moses#c2f7y
nakubali xan
Moses#c2f7y
wire
Mayuk Tz
unyama sana humu ndani
Hemedy Salum
OG
dullY Jr7
OG
Toooo>