Inakuwashia Nini
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Inakuwashia Nini - Wapendwa Muziki
...
Nimepita mtaa flaniii....wakasema mama wambooo..
tumbo kubwa unanona zaidii...
Nimepita mtaa flani...wamenicheka saaanaa
wananiita toothpick....ati nimekonda zaidi
oooh nimepita mtaa flani.....kicheko na kicheko
am not a real man...ati juu sina misuli
INAKUWASHIA NINI,,,,INAKISUMBUA NINI
Maumbile yangu...inakusumbua nini ×2
Natembea kwa ujasiri×2
nina yesu moyoni....amenipa ujasiri
see lyrics >>Similar Songs
More from Wapendwa Muziki
Listen to Wapendwa Muziki Inakuwashia Nini MP3 song. Inakuwashia Nini song from album Inakuwashia Nini is released in 2024. The duration of song is 00:04:05. The song is sung by Wapendwa Muziki.
Related Tags: Inakuwashia Nini, Inakuwashia Nini song, Inakuwashia Nini MP3 song, Inakuwashia Nini MP3, download Inakuwashia Nini song, Inakuwashia Nini song, Inakuwashia Nini Inakuwashia Nini song, Inakuwashia Nini song by Wapendwa Muziki, Inakuwashia Nini song download, download Inakuwashia Nini MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
Gladys 19
Barbara kenei
❤️❤️❤️
Esther mmbone Chamegere
wow
168854155
[0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
172153205
aky imewweeeeeeezaaaaaaaaaa!1
[0x1f618][0x1f618]