Yale Baba Umenifanyia
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Yale Baba Umenifanyia - Wapendwa Muziki
...
Dear God , it's me again I have come to you with a heart of worship . Aaaah...
Baba Mimi nimekufanyia nini, ndio unipende namna hii, nimekufanyia nini ndio unipende namna hii.
Baba Mimi nimekufanyia nini ndio unipende namna hii . Oooh nimekufanyia nini ndio unipende namna hii .
Nimekuwa na wimboo na Moyo wa kukuabudu babaa.....wimboo na Moyo wa kukuabudu babaa ..... wimboo na Moyo wa kukuabudu babaa.....wimboo na moyo wa kukuabudu babaaaa. Iyeee.
Bila ww ningeteseka dadii,umenitoa mbalii. Kama sio wewe Yaweh Mimi ningekuwa wapii.
Napiga magoti mbele zako baba yangu.
Nainua mikono Kwa ishara ya kusujudu
Yale baba unenifanyia acha nikuite shamaa
Imekuja nikupende Leo Jehovah shamaa
We ni Mungu wa mapendeleo nishakujua
see lyrics >>Similar Songs
More from Wapendwa Muziki
Listen to Wapendwa Muziki Yale Baba Umenifanyia MP3 song. Yale Baba Umenifanyia song from album Yale Baba Umenifanyia is released in 2024. The duration of song is 00:04:30. The song is sung by Wapendwa Muziki.
Related Tags: Yale Baba Umenifanyia, Yale Baba Umenifanyia song, Yale Baba Umenifanyia MP3 song, Yale Baba Umenifanyia MP3, download Yale Baba Umenifanyia song, Yale Baba Umenifanyia song, Yale Baba Umenifanyia Yale Baba Umenifanyia song, Yale Baba Umenifanyia song by Wapendwa Muziki, Yale Baba Umenifanyia song download, download Yale Baba Umenifanyia MP3 song
Comments (19)
New Comments(19)
Mercy Mwendexv38a
judychela92@gmail
mol
AMANI..AMANI
❤️❤️❤️❤️❤️
177385419
nice wapendwa
Grace Kingori Munyaka
wow
Gachomo colloh
♥️ nice one
pinky9k505
nice one❤️
180042637
good song
Amos @ oduor
woow nice[0x1f630][0x1f623]
keithi2vtj
nice song
RIVEREZ_101
I really love this song❤️
Dennis Musanifl3n8
good song
my song