Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2024

Lyrics

Derby (Paka & Panya) ft. Latifah - Roma Mkatoliki

...

naona gap kubwa kat ya paka na panya hiz ni idadi sa mbona siasa zatugawanya sisi je nyie ndo nyie ndo promo ok! mnajiona hill figure kisa mnamoney na power mnatuona mambwiga paka achana na sisi nyanya imekua diri Leo sokon haishikiiisa tunaish ili tule au tunakula ili tuishi si alileta elimu Bure mbona somi haizalishii Mzee mbabe,untouchable,mkali kama mgabe hakuiva na manji wenye ganji akasema wakabwe panya akafyata mkia wakapotea wenye ngebe acha kumpinga ukimsema unanyea debe hakua mlevi Kwa uhuru kunyata kama kalewalabda ka madaraka yanaweza elemewa sometimes hivi nyeo vina-hang over let gang wakasukumwa na kutake over ni yeye alileta swagger za kufly over ila n yeye democracy aliibend over Sanaa ni vikombe vya paka ndo vyomboo vya dola alitumia anavyotaka kutuchapa na hii bakora kila mfuga makucha hawezi ogopa rarua Kwa lissu ndo makundu na mwili so chandarua waliojidai wazarendo waloisoma namba ya kirumi ukikosoa miundo mbinu tu unahujumu uchumi hee wakazaliwa chawa fata upepo kama bendera waliojifanya sugu walienda jera watu wakakiita chuma na hakikua na huduma kiliziba njia za panya mipango yote ilibuma bado vita vinasuluhu na kupona majaliwa sikuweza kuisema pombe nilijua ntapaliwa . .... .. .


chorus

siku paka akishiba mwambie panya tunataka katiba hatuogop hiz shida tutapita hata kama Kuna miba ×2.. .. .... .... .. ... ... ...

heyo paka ndo alitawala huu msitu wa serikari panya .ndo sisi kapuku hatuna hali wasiwasi maisha yetu ya mitegoo katiba ndo ilimpa nguvu huyu paka mwenye eagle aaah A.K.A done stone paka the dodi vipi ashikwe na kiu na maziwaa ndo kodii Kwa panya hakuna minofuuna ziliadimika tea alitubana tuwe na njaa Kwa utii tuseme please ndanii Kuna njaa hakujalii si yeye kidume labda kuwatesa panya ndo sifa ya paka shume kweny runinga alivimba paka alijiona simba na alofanya alichotak hata angestaafu si anakinga eenh utamgusa vipi na anajeshi lilimlinda alipoambiwa sio la hapa kula kiugali nkashindwa na sio sinza Hadi mafinga hofu kitanda Giza Nene wanaharakati walimsaka Ben toka saa nane kweny damu ya Akwelina walilipa bei hatujui Kwa Nini mpiga risasi naamini yupo kazini

Similar Songs

More from Roma Mkatoliki

Listen to Roma Mkatoliki Derby (Paka & Panya) ft. Latifah MP3 song. Derby (Paka & Panya) ft. Latifah song from album Nipeni Maua Yangu is released in 2024. The duration of song is 00:06:00. The song is sung by Roma Mkatoliki.

Related Tags: Derby (Paka & Panya) ft. Latifah, Derby (Paka & Panya) ft. Latifah song, Derby (Paka & Panya) ft. Latifah MP3 song, Derby (Paka & Panya) ft. Latifah MP3, download Derby (Paka & Panya) ft. Latifah song, Derby (Paka & Panya) ft. Latifah song, Nipeni Maua Yangu Derby (Paka & Panya) ft. Latifah song, Derby (Paka & Panya) ft. Latifah song by Roma Mkatoliki, Derby (Paka & Panya) ft. Latifah song download, download Derby (Paka & Panya) ft. Latifah MP3 song

Comments (44)

0/500

    Top Comments (1)

    kiibinda

    Tulioikimbilia ngoma hii junuane kwa ku like[0x1f602]>

    Tanzania

    New Comments44

    Isaka Sang

    roma mjinga tu hana akili paka alikuwa anapiga kazi ya maendeleo si hatuangalii upaka tunaangalia maendeleo ya nchi

    Tanzania

    gosbeth Haule

    unyam sana roma

    Tanzania

    shadrack chafu

    nyimbo kali ila kumdiss marehemu unakoseaa kaka tulimpenda jpm tuu

    Tanzania

    Dalu Janja

    noma sana

    Tanzania

    Timothy willium

    kill dem

    Zambia

    Gantu Mbishi

    Viva Chukuwa Mauwa Yako Akuna Kamawee Roma Mkatoliki Panya Awanaamani Mtaani Kama Ajira roma

    South Africa

    ngundesy

    uhakika bro

    Tanzania

    174934822

    @kiibinda:

    aminia

    kiibinda:

    Tulioikimbilia ngoma hii junuane kwa ku like[0x1f602]

    Tanzania

    174934822

    aminia aminia aminia

    Tanzania

    174934822

    wew romaa wew

    Tanzania

    Samson Malamla

    nakubali sana kaka ngoma

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234
            -You can log in via below methods-
            Reset password via e-mail
            -or-
            Reset password via e-mail
            Feedback on resetting password
            * It may take a longer time

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status