
Pasua Njia
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Matendo Yako yatisha sana baba
Nami nashindwa kuyaelewa yahwe
Matendo Yako yatisha sana baba
Nami nashindwa kuyaelewa yahwe
Uliwaongoza wana israeli jangwani
Baada ya kuteseka Misri
Ukajitukuza machoni pao
Bahari ya shamu ilipoinuka
Ulisema hautawaachilia
Ukapasua bahari ya Shamu kimiujiza
Binadamu wakavuka, hadi ngambo ya bahari
see lyrics >>Similar Songs
More from Barakito Rodrigue
Listen to Barakito Rodrigue Pasua Njia MP3 song. Pasua Njia song from album Testimony EP is released in 2024. The duration of song is 00:05:39. The song is sung by Barakito Rodrigue.
Related Tags: Pasua Njia, Pasua Njia song, Pasua Njia MP3 song, Pasua Njia MP3, download Pasua Njia song, Pasua Njia song, Testimony EP Pasua Njia song, Pasua Njia song by Barakito Rodrigue, Pasua Njia song download, download Pasua Njia MP3 song