Nilipize
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Nilipize - Ibrah Nation
...
Verse;1
hivi kweli unakumbuka hata kujuta Kwa ulio nifanyia.
Moyoni uliguswa au ulipuuza na hutaki nisikia.
Hata kutuma ujumbe mfupi tuu My Darling.
unikose wewe niombe msamaha mimi.
BRIDGE:
Nashindwa hata kusema yani Moyo unaniuma.
Na pia uongo ni dhambi natamani urudi tena.
wewe ndo My everything Sitaki geuka nyuma.
see lyrics >>Similar Songs
More from Ibrah Nation
Listen to Ibrah Nation Nilipize MP3 song. Nilipize song from album Nilipize is released in 2016. The duration of song is 00:04:12. The song is sung by Ibrah Nation.
Related Tags: Nilipize, Nilipize song, Nilipize MP3 song, Nilipize MP3, download Nilipize song, Nilipize song, Nilipize Nilipize song, Nilipize song by Ibrah Nation, Nilipize song download, download Nilipize MP3 song
Comments (26)
New Comments(26)
Shedraki Kasial
Mama Trishajfiwa
umenigusa coz hayo uliyosema ndio ninayoyapitia kwa sasa
AthumanZuwena
Unajua mwamba
AthumanZuwena
Daaah!!
reginafa211
umejua kuniliza ibraa mm sio wa kulia jamani ila maneno yako yanachoma
bethawizzy 87
niceeeeeeeeeeeeee
Anthony Sinda
unajua kak p
Esther Geo
We jamaa Sauti Kama ya foby sura ya darasa
Rama Cheche
huna bahat tu ila unajua kinyama
Hadijaiwzqs
it's so good [0x1f63f][0x1f63f][0x1f618]
chars junior
[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
[0x1f609][0x1f609][0x1f609][0x1f609][0x1f609]