Baba Hazai
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Baba Hazai - Goodluck Gozbert
...
Kuna nyimbo nyingi nyingi,
umeimbwa mama mama,
Ila kunayonayo hii sikiliza halafu tena sikiliza ahobaoba,
aa sifa nyingi nyingiii umepewa sana mamaaa
Ila kunayo yakwanguu ya pekee eee
Siku uliyokwenda labour sikujua ulipambana na uhai wako na wanguuu
Marafiki walikuonaaa umetoka tuuu salama ila Kumbe ulipambana mamaa
Nakwanza pole na maneno ya manesi Polee na ile hofu ya mauchungu polee na maumivu ya tumbooo
Eee mama Polee na maumivu miezi tisa
Homa homa nakulazwa Polee shikamoo tena mama mwambie baba nimesema
see lyrics >>Similar Songs
More from Goodluck Gozbert
Listen to Goodluck Gozbert Baba Hazai MP3 song. Baba Hazai song from album Baba Hazai is released in 2024. The duration of song is 00:04:07. The song is sung by Goodluck Gozbert.
Related Tags: Baba Hazai, Baba Hazai song, Baba Hazai MP3 song, Baba Hazai MP3, download Baba Hazai song, Baba Hazai song, Baba Hazai Baba Hazai song, Baba Hazai song by Goodluck Gozbert, Baba Hazai song download, download Baba Hazai MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
172303621
glory osborn
imo nguvu kwenye huu wimbo ukisikia waweza lia kwa uchungu kama haupo na mama
Deleted User
huu wimbo ukawabariki wamama wote wenye watoto na wale wasiokuwa na watoto wakakpokee baracka na kupata watoto amen
Most toucheable song