
Kimbilio Langu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Kimbilio Langu - Abeddy Ngosso
...
Kimbilio langu ni wewe peke yake,
hili ni ombi langu, mchana na usiku,
naja mbele zako, yesu nikumbuke,
nipe furaha moyoni, niseme umetenda.(chorus)
Naja mbele zako Baba,nikumbuke hivi nilivyo,
Fanya jambo ,ndani yangu ,lisilo wezekana.
kikombe hiki ,kizito ,kinaumiza ,
hata kama Baba,ni kesho ,wewe haudanganyi.
Nimepitia mengi sanaaa,
yamekua mazito mno,
see lyrics >>Similar Songs
Listen to Abeddy Ngosso Kimbilio Langu MP3 song. Kimbilio Langu song from album Kimbilio Langu is released in 2024. The duration of song is 00:04:08. The song is sung by Abeddy Ngosso.
Related Tags: Kimbilio Langu, Kimbilio Langu song, Kimbilio Langu MP3 song, Kimbilio Langu MP3, download Kimbilio Langu song, Kimbilio Langu song, Kimbilio Langu Kimbilio Langu song, Kimbilio Langu song by Abeddy Ngosso, Kimbilio Langu song download, download Kimbilio Langu MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
Nicole7o0vl
Movine gesarek MO in
My day per prayer
168306341
Amen
G.Kelsey NJOROGE
i love this song ❤️ because God is my kimbilio all times's Lord God i love you and remember me and may i testify you made it in my life make me a real testimony ❤️
melvine ashora
sina wingine
[0x1f623][0x1f623]