Kila siku nashukuru
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Kila siku nashukuru kwa kidogo si haba siku kwa siku
Muhimu uzima wangu ninatembea ni huyu Mungu pokea sifa.
Kakiota kangu haka (haka) kadogo kanatosha kunihifadhi.
Hicho ulichonacho wengine wanaomba kwanini hautaki kumshukuru Mungu.

(Instrumental)
Ninaomba Baba niondolee hii tabia ya kuwa mlalamishi (kila siku) kushindwa hata kuyaona machache uliyonipa.
see lyrics >>Similar Songs
More from Jomireso voices Tz
Listen to Jomireso voices Tz Kila siku nashukuru MP3 song. Kila siku nashukuru song from album Kila siku nashukuru is released in 2024. The duration of song is 00:03:47. The song is sung by Jomireso voices Tz.
Related Tags: Kila siku nashukuru, Kila siku nashukuru song, Kila siku nashukuru MP3 song, Kila siku nashukuru MP3, download Kila siku nashukuru song, Kila siku nashukuru song, Kila siku nashukuru Kila siku nashukuru song, Kila siku nashukuru song by Jomireso voices Tz, Kila siku nashukuru song download, download Kila siku nashukuru MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
officialryn
Eduu Boy
very [0x1f63f]
be blessed jomireso