Tujiangalie ft. Nyashinski Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2019
Lyrics
Tujiangalie ft. Nyashinski - Sauti Sol
...
Barua toka Jaramogi na Kenyatta wanauliza kama Kenya kuko sawa
Nikawajibu Kenya tuko na disaster Watoto wetu wanazidi kuzikana
Na Tom Mboya ameshika tamaa alituwacha kama angali kijana
Jee angekuwa mambo yangekuwa sawa ndivyo alivyo panga Maulana
Deni mulizo wacha bado tunalipa
Na tumekopa zingine China tukajenga reli pia barabara zilizobaki watu wakasanya.
So Tujiangalie Tujiangalie
Tuko pabaya leo kuliko jana
Sikio la kufa haliskii dawa
Tuko kwa Twitter tunajibizana
Tujiangalie Vanee tuko pabaya leo kuliko jana
Tusipo ziba ufaa tutajenga kuta
Tusake zetu tungali vijana.
Waumini kwa ma3 na passi kwa bima
Kushoto fungu la kumi sadaka kulia
Ndio maana mbele ya Kanisa Mweshimiwa anakula sacramenti kabla ya Raia
aaah
Siku za mwisho zimeshawadia na Revelation inatuaambia
Hii generation inachoma picha
Ni generation yetu
So Tujiangalie Tujiangalie
Tuko pabaya leo kuliko jana
Sikio la kufa haliskii dawa
Tuko kwa Twitter tunajibizana
Tujiangalie eeeh Tujiangalie
Tuko pabaya leo kuliko jana
Tusipo ziba ufaa tutajenga kuta
Tusake zetu tungali vijana
Michuki alisema tufungeni mikanda
Ona leo twavuna tulichopanda
Kura zetu zilitugawanya
Makabila na pesa pia tulimanga
So when you make your bed ohhh
You lie on it ohhh
Uzingizi gani tumelala
Tutajuwa hatujui
Vision 2030 itabaki ni story
Tujiangalieee Tujiangalie
Tuko pabaya leo kuliko jana
Sikio la kufa haliskii dawa
Tuko kwa Twitter tunajibizana
Tujiangalieee Tujiangalie
Tuko leo kuliko jana
Tusipo ziba ufaa tutajenga kuta
Tusake zetu tungali vijana
Mdosi alini ambianga freedom never comes for free
We vote tribe ama real cash ask bonny
Tuna roho mahali hamuwezi ita GSU plus doggy
World mzima Twitter K.O.T ndio first body
Burn picha si ni wa Africa
Black Koffi Anan
I'm richer than my neighbor but we both in the slum
If the rich always win
Why should the popular run
Unless democracy ni word si usema only for fun....Ehhh
Tujiangalie Tujiangalie
Aah
Na hii weekend tuko church
Tunauza sura kabisaaaaa
Post ya haga hueenda poa sana na caption ya scripture
Kaa hiyo ndio gospel pitisha bag ya sadaka kwa club yeeee
Tujiangalie
Aaah
Traffic madrug hubai ndai
Traffic mandai sina drug
Ku admire mwizi ame make it
Story za shamba wame grab
Mkono nahonga imevaa bracelet ya colour za flag Yeah!!!!