![Sijiwezi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/09/6ab8b6a73aa74730a0429c286a6b2103_464_464.jpg)
Sijiwezi
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
#Chorus Kama sio God mimi ningekua wapi now Kama sio God Mimi singekua happy now
Kama sio God mimi singekua worthy now Kama sio God....eh! Ndio maana mimi sijiwezi
"Awachoga'n" sijiwezi Bila wewe sijiwezi Ouma mimi sijiwezi Verse 1 Thank you for the family
thank you for the friend dem nipitie nguvu ndio niweze ku defend dem Shida yangu inakuanga
tu magyaldem nipatie nguvu niweze kuwalenga dem Wakiwa njaa Mungu baba si unalisha dem
Ka Kuna njeve Mungu baba si Una cover dem Ni wagonjwa Mungu Baba basi Una cure dem
Jana ulifanya tena leo you a do again Na kama sio God mimi ningelala Bela Watoi wangu
wange kosa dema Kabla nidhore bike already nilikua peddler Si utatuforgive tukirepent ulisema
#Prechorus Sababu ya God nimewacha vitu dirty Sababu ya God nitanyoa mpaka nati Kamati
ya roho Chafu basi imeze kaimati #Chorus Kama sio God mimi ningekua wapi now Kama sio
God Mimi singekua happy now Kama sio God mimi singekua worthy now Kama sio God....eh!
Ndio maana mimi sijiwezi "Awachoga'n" sijiwezi Bila wewe sijiwezi Ouma mimi sijiwezi Maombi
see lyrics >>Similar Songs
More from Timmy tDat
Listen to Timmy tDat Sijiwezi MP3 song. Sijiwezi song from album Sijiwezi is released in 2023. The duration of song is 00:02:50. The song is sung by Timmy tDat.
Related Tags: Sijiwezi, Sijiwezi song, Sijiwezi MP3 song, Sijiwezi MP3, download Sijiwezi song, Sijiwezi song, Sijiwezi Sijiwezi song, Sijiwezi song by Timmy tDat, Sijiwezi song download, download Sijiwezi MP3 song