![Sijiwezi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/09/6ab8b6a73aa74730a0429c286a6b2103_464_464.jpg)
Sijiwezi Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
#Chorus Kama sio God mimi ningekua wapi now Kama sio God Mimi singekua happy now
Kama sio God mimi singekua worthy now Kama sio God....eh! Ndio maana mimi sijiwezi
"Awachoga'n" sijiwezi Bila wewe sijiwezi Ouma mimi sijiwezi Verse 1 Thank you for the family
thank you for the friend dem nipitie nguvu ndio niweze ku defend dem Shida yangu inakuanga
tu magyaldem nipatie nguvu niweze kuwalenga dem Wakiwa njaa Mungu baba si unalisha dem
Ka Kuna njeve Mungu baba si Una cover dem Ni wagonjwa Mungu Baba basi Una cure dem
Jana ulifanya tena leo you a do again Na kama sio God mimi ningelala Bela Watoi wangu
wange kosa dema Kabla nidhore bike already nilikua peddler Si utatuforgive tukirepent ulisema
#Prechorus Sababu ya God nimewacha vitu dirty Sababu ya God nitanyoa mpaka nati Kamati
ya roho Chafu basi imeze kaimati #Chorus Kama sio God mimi ningekua wapi now Kama sio
God Mimi singekua happy now Kama sio God mimi singekua worthy now Kama sio God....eh!
Ndio maana mimi sijiwezi "Awachoga'n" sijiwezi Bila wewe sijiwezi Ouma mimi sijiwezi Maombi
ya mother ndio imeniweka hii inadi Wengi wengi nyiutaka tu nidedi Wataki niwehai wamehonga
adi peddy Wamebuy JD wateke my lady. Magoti juu ya floor Alafu macho juu ya ceiling, Sagodi
niprotect nirudi ata na shillings Success yangu ndio inawahurt feeling Na sai Niko benkiko na
Clinton tuko BILLING. MI NI MDOPE INAFA TU NIJISIGN, CEO NIENDE JOB NIKI DECIDE,
KADEM KA FINE MANZE APA BY MY SIDE, NA MTU ASHAJAM MANZE NA AKO TU KA LINE.
#Prechorus Sababu ya God nimewacha vitu dirty Sababu ya God nitanyoa mpaka nati Kamati
ya roho Chafu basi imeze kaimati #Chorus Kama sio God mimi ningekua wapi now Kama sio
God Mimi singekua happy now Kama sio God mimi singekua worthy now Kama sio God....eh!
Ndio maana mimi sijiwezi "Awachoga'n" sijiwezi Bila wewe sijiwezi Ouma mimi sijiwezi