
Nani Kama Mama
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Nani Kama Mama - Isha Mashauzi
...
Wapekee mungu aloumba dunia aaha
Wapili ni mama yangu kipenzi alonilea aghaa
Hizi shukurani zangu pokea aagha,
nisingejua ulimwengu kama usingenizaa x2
Ni nani kama mama….,
hasa katika Dunia aghaa,
mfano wake hakuna na hautakuja kutokea,
Mwenye upendo na wema, vyema umenilea aghaa, chakukupa mimi sina
Dua njema nina kuombea
Similar Songs
More from Isha Mashauzi
Listen to Isha Mashauzi Nani Kama Mama MP3 song. Nani Kama Mama song from album Nani Kama Mama is released in 2014. The duration of song is 00:16:41. The song is sung by Isha Mashauzi.
Related Tags: Nani Kama Mama, Nani Kama Mama song, Nani Kama Mama MP3 song, Nani Kama Mama MP3, download Nani Kama Mama song, Nani Kama Mama song, Nani Kama Mama Nani Kama Mama song, Nani Kama Mama song by Isha Mashauzi, Nani Kama Mama song download, download Nani Kama Mama MP3 song
Comments (25)
New Comments(25)
sadateg5l
waoi
aishakapangaray'yishu@95

taussyei9
mama kipenzi
Ashura67kw6
Mungu akupe maixha maref mammy wang

Neema marandu alvnp
mama ♥♥♥♥♥♥♥♥♥
Erick Mkwamba
[0x1f630]
zainaj5tdp
hakuna kama mam
Hida Kash
nakupenda mama angu( sina salum)[0x1f618][0x1f618][0x1f618][0x1f641][0x1f641][0x1f623][0x1f623][0x1f623]
Idd Jong
mama kama mama
shees1xhp
nice son but mama ni mama tu[0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f61b]
zartanaty
mama Ni mama tu
hakuna kama mama