KWAHERI ft. Sanaipei Tande
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2023
Lyrics
KWAHERI ft. Sanaipei Tande - Jua Cali
...
yee aha (*2 ).......siku mingi jooh ye.....Kwaheri (*2)..kwani nme ekewa madawa swezi kuacha kila mahali unaenda mi naku fuata siogopi kukuambia mi nakupenda ju ya uwivu nao zao ni kusema sema ju uyo manzi alinipigia simu mi ata simjui mi nme kuwa student tulikuwa na ye wapi juzii?hizo ni uongo na unajua mlango yangu iko wazi ukitaka kurudi nme ifungua unasema hapana hapana huku ukilia mi navumilia Ninakazana nakazana after hiyo yote siamini bado hujaniambia
Nakuaga mi kwaheri namiii nakutakia la heri kukupenda mi siwezi jamani mpenzi kwaheri (*2 )
Nashughulika kila kitu yangu irudi fity vile ulipotea watu mtaani walifikiria nime chizii silali kusema ukweli sikuli kejani bana ata siku hizi situli nipige makofi labda naota ama nkuatetea nlikuwa naskia nkama nme choka kujitetea pali niko pali siko na sai tumetupa miaka sita Ivyo una sema hapana hapana hapana huku ukilia mi navumilia nina kazana nakazana nakazana after iyo yote bado siamini bado huja Nambia
Nakuaga mi kwaheri namiii nakutakia la heri kukupenda mi siwezi jamani mpenzi kwaheri (*2)
Hasira ni ya nini bana tulia Biashara yetu bado mi nme ishikilia na nguvu yangu yote naweza pesko kuna mahali poa nme ziweka una weza chuna kadha ukitaka zile zita baki nunua nazo shamba lazima tufikirie Maisha yetu ya Mbele si kila siku kelelee keleleeeee
Chuki gani bwana wewe mambo yako yaenda kombooo japo ni songeapo matatizo yako ya komaa
Nakuaga mi kwaheri namiii nakutakia la heri kukupenda mi siwezi jamani mpenzi kwaheri(*4)
Chuki gani bwana wewe mambo yako yaenda kombooo japo ni songeapo matatizo yako ya komaa
Nakuaga mi kwaheri namiii nakutakia la heri kukupenda mi siwezi jamani mpenzi kwaheri (*2).....eeeh mpenzi Kwaheriii
Similar Songs
More from Jua Cali
Listen to Jua Cali KWAHERI ft. Sanaipei Tande MP3 song. KWAHERI ft. Sanaipei Tande song from album NGELI YA GENGE is released in 2023. The duration of song is 00:03:57. The song is sung by Jua Cali.
Related Tags: KWAHERI ft. Sanaipei Tande, KWAHERI ft. Sanaipei Tande song, KWAHERI ft. Sanaipei Tande MP3 song, KWAHERI ft. Sanaipei Tande MP3, download KWAHERI ft. Sanaipei Tande song, KWAHERI ft. Sanaipei Tande song, NGELI YA GENGE KWAHERI ft. Sanaipei Tande song, KWAHERI ft. Sanaipei Tande song by Jua Cali, KWAHERI ft. Sanaipei Tande song download, download KWAHERI ft. Sanaipei Tande MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
Maria Ndunde
tf._.itskim
follow me on ig@ tf._.itskim
Tuma Moh'd
❤❤❤❤
167814782
one of my best song
Imani 11n4d
no matter how many times this song is played, ill still vibe to it
Roby Kelly
we need lyrics
old is Gold