BIDII YANGU
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2023
Lyrics
BIDII YANGU - Jua Cali
...
California vitu mzuri tunaendelea mbele,hakuna cha uzuni hapa furaha ni tele,kwa wale wamesahau mziki yangu bado ni genge,kwa wale wanatudharau tafadhali usifanye ni cheke,sitadanganya jamaa nimerudi studio Leo na naskia poaa,na najua munapenda kuskia sauti yangu kwa hivo ngoma poa ndo ntazidi kutoa,unatulia Nini bana amka tuzitoke,unapanguza nini bana wacha jasho imwagike kwote,atakama kuna ukamwe tunajituliza na maji baridi,Cleimo round hii ameniambia wanikute na ngoma mbili mbili.....aah moral moral,wacha iwabambe na mjipandishe juu ka bendera na muimbe hii ngoma ka national anthem,...(nataka tu heshima yako,nataka tu furaha yako,ndio ujue mahali bidii yangu umetoka×2)aah nimeacha watu wengi sana wakule,round hii niachieni pia mi ninone,safari yangu ningependa kuipeleka mbio lakini nimeamua kuenda pole pole,usifikirie nimechoka,nikona nguvu ka zile ngombe nyi huona mtaani,stachoka kutafuta majani,stachoka kuendelea na safari,wacha mguu zangu zitembee,wasani wote wa nguvu wapepe,ki maisha na kila kitu wanafanya,ni bidii na utafika pali unataka,hata nikigonga so bado mziki zangu staacha kusambaza,nimeamka chali yangu na sioni tena kai,cha lala weka metres kando tunaenda kazi,weka stress kando mambo ikuwe safi,moral moral watu wangare,moral moral watu watambe na mjupandishe juu ka bendera na muimbe hii ngoma ka national anthem, (nataka tu heshima yako,nataka tu furaha yako, ndio ujue mahali bidii yangu umetoka×2)bidii yangu imelazimisha watu wengi sana waruke,asali bado nawapatia taiongeza sukari,utamu isishuke,nikipanda ntafanya venye roho yangu unataka,stapotea tena hata nikiona wengine wakitukata,pili pili niaje si ukuje unisaidie kuwakamata,lakini sijui nitakuwa aje tukiwaroga sana,sijui watdecide aje tukiwabonda sana,tuwafundisha kupumzisha nyundo na bado uweze kuflex mkono vizuri,kuingia gym kupanua kifua kiasi na kupumua vizuri,(nataka tu heshima yako nataka tu furaha yako, ndio ujue mahali bidii yangu umetoka×4).
Similar Songs
More from Jua Cali
Listen to Jua Cali BIDII YANGU MP3 song. BIDII YANGU song from album JuaCaliSekta is released in 2023. The duration of song is 00:04:02. The song is sung by Jua Cali.
Related Tags: BIDII YANGU, BIDII YANGU song, BIDII YANGU MP3 song, BIDII YANGU MP3, download BIDII YANGU song, BIDII YANGU song, JuaCaliSekta BIDII YANGU song, BIDII YANGU song by Jua Cali, BIDII YANGU song download, download BIDII YANGU MP3 song