- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Ndoto - Sda Songs
...
mmh mfalme nebukarineza aliota ndoto ya kushangaza sana ooh ilionyesha matukio halisi ya siku za mwisho×2
chorus
ndoto ilipootwa iliwakilisha ooh mfalme yule usiku wa manane ndoto walitafuta watu kutafasiri ndoto ile waganga na wachawi wote walifika pale kutafasiri ndoto wote hawakuweza kitu kutafasiri ndoto ile ×2 uuh ukisoma unabii huu utaona tuko kwenye miisho ya dunia ooh tunasubilia makao yetu ya milele ×2
chorus×2
KAKINI DANIELI MTU WA MUNGU ALIWEKA MAMBO WAZIWAZI UNABII HUU WATIMIA ×2
jisalimishe kwa MUNGU
chorus×2
chorus2×2
Similar Songs
More from Sda Songs
Listen to Sda Songs Ndoto MP3 song. Ndoto song from album Sonda Ya Dillu Acapella is released in 2023. The duration of song is 00:04:30. The song is sung by Sda Songs.
Related Tags: Ndoto, Ndoto song, Ndoto MP3 song, Ndoto MP3, download Ndoto song, Ndoto song, Sonda Ya Dillu Acapella Ndoto song, Ndoto song by Sda Songs, Ndoto song download, download Ndoto MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
Mwamba Douglas
great song