Mwamba Wenye Imara ft. Gideoni
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Mwamba Wenye Imara ft. Gideoni - Sda Songs
...
Mwamba wenye imara, kwako nitajificha
Maji hayo na damu, yaliyotoka humo
Hunisafi na dhambi, hunifanya Mshindi.
Kwa kazi zote pia, sitimizi sheria
Nijapofanya bidii, nikilia na kudhii
Hayaishi makosa, ni we wa kuokoa
Sina cha mkononi, naja msalabani
Nili tupu nivike, ni mnyonge nishike
Nili mchafu naja, Nioshe mi sijafa.
Nikungojapo chini, nakwenda kaburini
see lyrics >>Similar Songs
More from Sda Songs
Listen to Sda Songs Mwamba Wenye Imara ft. Gideoni MP3 song. Mwamba Wenye Imara ft. Gideoni song from album Nyimbo Za Kristo is released in 2023. The duration of song is 00:04:29. The song is sung by Sda Songs.
Related Tags: Mwamba Wenye Imara ft. Gideoni, Mwamba Wenye Imara ft. Gideoni song, Mwamba Wenye Imara ft. Gideoni MP3 song, Mwamba Wenye Imara ft. Gideoni MP3, download Mwamba Wenye Imara ft. Gideoni song, Mwamba Wenye Imara ft. Gideoni song, Nyimbo Za Kristo Mwamba Wenye Imara ft. Gideoni song, Mwamba Wenye Imara ft. Gideoni song by Sda Songs, Mwamba Wenye Imara ft. Gideoni song download, download Mwamba Wenye Imara ft. Gideoni MP3 song