
Nishike Mkono
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
NISHIKE MKONO AUDIO LYRICS & ARTS
Adui muwinda watu halali,anatuwinda usiku kucha,Mungu baba usipotulinda tuta
angamia eh..anamaliza vijana na depression,abortion drug addiction,anamaliza ndoa
seperation,polisi nama corruption
Pre-chorus
So ukiniona nikilegea,nibebe,nibembeleze ni bebe
nikipoteza tumaini;nibebe nibembeleze nibebe,Yesu nishike mkono.
CHORUS
Nishike mkono,nishike mkono Bwana nishike mkono
ukituacha adui atatuangamiza;nisike mkono,nishike mkono Bwana nishike mkono
see lyrics >>Similar Songs
More from Boss M.O.G
Listen to Boss M.O.G Nishike Mkono MP3 song. Nishike Mkono song from album Nishike Mkono is released in 2023. The duration of song is 00:04:40. The song is sung by Boss M.O.G.
Related Tags: Nishike Mkono, Nishike Mkono song, Nishike Mkono MP3 song, Nishike Mkono MP3, download Nishike Mkono song, Nishike Mkono song, Nishike Mkono Nishike Mkono song, Nishike Mkono song by Boss M.O.G, Nishike Mkono song download, download Nishike Mkono MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
Buhian official
na utapata kuna watu hawayuko rada na hii doba