Nawewe ft. Princess Lajoie
- Genre:Pop
- Year of Release:2023
Lyrics
Nawewe ft. Princess Lajoie - Rich Mood Tz
...
Haaaa Difenda Boy again Nipe Nafasi nikahe Moyoni Mwako Milele kwama shonga zako unitabulishe wanione ka moyo kangu nakupa unituziye mama mi mngojwa wamapenzi tusije kutesana akili ushaaribu umenipa nini wewe basi twende taratibu maana utaniuwa bure umenipata eheee Nimekupata eheee tumepatana wote penzi lishawaka eheeee unamere meta eheee unatakatisha eheeee uninyime unanipa vyote navyo taka eheee tufe tuzikane wote
Nawewe mimi nawewe nawewe tusiachane nawewe mpaka milele nawewe lindumu penzi nawewe lakwetu mi nawe nawewe kuwachana kazi nawewe yakwetu mi nawe nawewe
I am Princess Lajoie
Penzi tulifanye tamu mpaka wapate wazimu wasotupenda kwa wivu wajinyonge wanywe sumu mafunzo umehatimu fundi wamambo matamu unaigonga rohoo yangu naomba penzi lindumu ulipo shika chonde usiache nishawaka nipe mambo kama mchele mambo shwadata nimekupata eheee umenipata eheee tumepatana wote penzi lishawaka eheeee wameremeta eheee watakatisha eheeee uninyimi unanipa chote nachotaka eheee
3× tufe tuzikane wote Nawewe mimi nawewe nawewe tusiachane nawewe mpaka milele nawewe lindumu penzi nawewe lakwetu mi nawe nawewe kuwachana kazi nawewe yakwetu mi nawe nawewe Mi nawe mi nawe hiiii mi nawe mi nawee
Similar Songs
More from Rich Mood Tz
Listen to Rich Mood Tz Nawewe ft. Princess Lajoie MP3 song. Nawewe ft. Princess Lajoie song from album Nawewe is released in 2023. The duration of song is 00:03:11. The song is sung by Rich Mood Tz.
Related Tags: Nawewe ft. Princess Lajoie, Nawewe ft. Princess Lajoie song, Nawewe ft. Princess Lajoie MP3 song, Nawewe ft. Princess Lajoie MP3, download Nawewe ft. Princess Lajoie song, Nawewe ft. Princess Lajoie song, Nawewe Nawewe ft. Princess Lajoie song, Nawewe ft. Princess Lajoie song by Rich Mood Tz, Nawewe ft. Princess Lajoie song download, download Nawewe ft. Princess Lajoie MP3 song