- Genre:Soul
- Year of Release:2022
Lyrics
Rich Boy
Oh dina nipe ndonzi nikupe turizishane haaaaa tuwe kama jiwa popote tufatanee haaaaa
nipe ndonzi nikupe turizishane haaaaa tuwe kama jiwa popote tufatanee haaaaa
Oh dina wewe unanikosha mtima wangu huuu dina weweee tutelenze tu Mbali tukale samaki dina tulenze tu mbalii tukale samakini dina tutelenze tu mbaliii aye aye yeeee napenda tabasamu lako dina napenda unavyo nitazamaaa napenda tabasamu lako dina napenda unavyo nitazamaaaa kwa penzi lako usinipeleke kwengine nitalia oh dina mama moyo Wangu nishakukambinzi kwa penzi lako moto moto moto kwa penzi lako oh moto ma moto mamaa
tutelenze tu Mbali tukale samaki dina tulenze tu mbalii tukale samakini dina tutelenze tu mbaliii aye aye yeeee napenda tabasamu lako dina napenda unavyo nitazamaaa napenda tabasamu lako dina napenda unavyo nitazamaaaa
Similar Songs
More from Rich Mood Tz
Listen to Rich Mood Tz Dina MP3 song. Dina song from album Dina is released in 2022. The duration of song is 00:03:10. The song is sung by Rich Mood Tz.
Related Tags: Dina, Dina song, Dina MP3 song, Dina MP3, download Dina song, Dina song, Dina Dina song, Dina song by Rich Mood Tz, Dina song download, download Dina MP3 song