![Mchawi Ndugu ft. Team Masauti](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/25/c5e1e774797e44a4a56b957ee3056c6b_464_464.jpg)
Mchawi Ndugu ft. Team Masauti
- Genre:Pop
- Year of Release:2023
Lyrics
Mchawi Ndugu ft. Team Masauti - Thabit Abdul
...
mimi ni mungwana fundo langu na shavu nasema na moyo wangu kinyongo uwa Sina mkono langu shavu siachi kufanya yangu baya lisilo nizuru na jema lisilo nifanikisha Waja wasilonilazimu najua yote maisha najua nitafaulu mola ataniwezesha aliye nipanga kunizulu mungu atamfedhesha
yangu yakukaa kimya nikayafumbia macho sikuyafanya siyaoni Sasa nafungua kinywa nasema nikionacho nayatoa ya moyoni ×2
amakweli kikulacho kimo kwako nguoni nimewaona Kwa macho ubaya nimebaini×2
aliye kula langu jasho langu kaniendea uchawini anionea kijicho apendezi nikiwini×2
anaekujua utosi unywele adi ukucha ndo akutia nuksi teleza Kila kukicha×2
see lyrics >>Similar Songs
More from Thabit Abdul
Listen to Thabit Abdul Mchawi Ndugu ft. Team Masauti MP3 song. Mchawi Ndugu ft. Team Masauti song from album Mchawi Ndugu is released in 2023. The duration of song is 00:10:51. The song is sung by Thabit Abdul.
Related Tags: Mchawi Ndugu ft. Team Masauti, Mchawi Ndugu ft. Team Masauti song, Mchawi Ndugu ft. Team Masauti MP3 song, Mchawi Ndugu ft. Team Masauti MP3, download Mchawi Ndugu ft. Team Masauti song, Mchawi Ndugu ft. Team Masauti song, Mchawi Ndugu Mchawi Ndugu ft. Team Masauti song, Mchawi Ndugu ft. Team Masauti song by Thabit Abdul, Mchawi Ndugu ft. Team Masauti song download, download Mchawi Ndugu ft. Team Masauti MP3 song