![Mchawi Ndugu ft. Team Masauti](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/25/c5e1e774797e44a4a56b957ee3056c6b_464_464.jpg)
Mchawi Ndugu ft. Team Masauti Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2023
Lyrics
Mchawi Ndugu ft. Team Masauti - Thabit Abdul
...
mimi ni mungwana fundo langu na shavu nasema na moyo wangu kinyongo uwa Sina mkono langu shavu siachi kufanya yangu baya lisilo nizuru na jema lisilo nifanikisha Waja wasilonilazimu najua yote maisha najua nitafaulu mola ataniwezesha aliye nipanga kunizulu mungu atamfedhesha
yangu yakukaa kimya nikayafumbia macho sikuyafanya siyaoni Sasa nafungua kinywa nasema nikionacho nayatoa ya moyoni ×2
amakweli kikulacho kimo kwako nguoni nimewaona Kwa macho ubaya nimebaini×2
aliye kula langu jasho langu kaniendea uchawini anionea kijicho apendezi nikiwini×2
anaekujua utosi unywele adi ukucha ndo akutia nuksi teleza Kila kukicha×2
aaaah sijarogwa na jirani Wala mpita njia mchawi ninae ndani vizuri ananijua ×2
Leo nimembaini anaenialibia mchawi ndugu jamani jirani anasadia ×2
Bora uwe na pengo kuliko jina bovu ndugu ana mpango ananifanyia maovu
atashindwa inshallah nipo kwenye ubora wangu yake mola majaliwa ananilinda mungu Bora kua na pengo kuliko jina bovu ndugu ana mpango ananifanyia maovu
anaenitakia mema ndo mwenye faida kwangu awe ndugu na jamaa Alie nijalia mungu ×2
nitaeokota nae Kuni ndo nitaota nae moto awe ndugu na jilani aijalishi kipato×2
tutaonana peponi umbali na moto
anaenitakia mema ndo mwenye faida kwangu awe ndugu na jamaa aliye nijalia mungu×2
nimejifunza mengi jamani mchawi ndugu jamani walikua wengi wachaw tumewabaini×2
nimekaza atuyumbi kwawachaw kalogeni