- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Uwape - Jomireso voices Tz
...
Iyeeee lelelelele(lelee€Uwape hao furaha walioikosa utabarikiwa
Wagonjwa nao uwape,, uwape hao njia za kuzipata baraka kutoka mbinguni.
Iye leleleleleleee,, ukijifanya hutaki kuwa baraka kwao waliao
Mungu mwenyeweee .,, atazifanya shida zao kuwa baraka ushindwe salama.
lyeeee leleleleleUwape hao furaha walioikosa utabarikiwa
Wagonjwa nao uwape,, uwape hao njia za kuzipata baraka kutoka mbinguni.
lye leleleleleleee,, ukijifanya hutaki kuwa baraka kwao waliao
Mungu mwenyeweee .„, atazifanya shida zao kuwa baraka ushindwe salama.
Umewekwa uwe daraja darajaaa dunianii,, walio chini wapite kwako wainue waliochoshwa na mizigoo
Umewekwa kuwa njia tegemewa lalalaaaaa
see lyrics >>Similar Songs
More from Jomireso voices Tz
Listen to Jomireso voices Tz Uwape MP3 song. Uwape song from album Uwape is released in 2023. The duration of song is 00:04:01. The song is sung by Jomireso voices Tz.
Related Tags: Uwape, Uwape song, Uwape MP3 song, Uwape MP3, download Uwape song, Uwape song, Uwape Uwape song, Uwape song by Jomireso voices Tz, Uwape song download, download Uwape MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
Elias simion 60x
Elias simion 60x
Good job good good job
Elias simion 60x
I’m just now
Elias simion 60x
Ilove signs
Elias simion 60x
Sawa
Eduu Boy
Ukijifanya hutaki kuwa daraja kwa wao waliao
My love song