Kweli ft. Biro zadoki
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Kweli ft. Biro zadoki - Zack chriss
...
wanangu tu kibao washakata lingi
kama jese jonathan tulipanga vingi
rest in peace uncle John umelala dingi
wanangu waliobakia nawaombea miaka mingi
Baba
wanangu tu kibao wako kama mimi
Wamehitimu elimu ya juu yani kama mimi
familia zetu maskini kama nini walisomeshwa kwa mikopo yani kama mimi
Ani huwezi amini kila kitu kili uzwa ili nisome mimi mana waliamini
elimu ndo msingi wa maisha utanitoa mimi
see lyrics >>Similar Songs
More from Zack chriss
Listen to Zack chriss Kweli ft. Biro zadoki MP3 song. Kweli ft. Biro zadoki song from album Kweli is released in 2023. The duration of song is 00:03:24. The song is sung by Zack chriss.
Related Tags: Kweli ft. Biro zadoki, Kweli ft. Biro zadoki song, Kweli ft. Biro zadoki MP3 song, Kweli ft. Biro zadoki MP3, download Kweli ft. Biro zadoki song, Kweli ft. Biro zadoki song, Kweli Kweli ft. Biro zadoki song, Kweli ft. Biro zadoki song by Zack chriss, Kweli ft. Biro zadoki song download, download Kweli ft. Biro zadoki MP3 song
Comments (11)
New Comments(11)
Mr.kazi.
Gito Bwaxxx
Njombe Kabisaaaa
chrisfordtz
tuendelee ku support hii ngoma kali sana imegusa uhalisia wa maisha ya jamii yetu
dangonh3la
wanangu kibao washakata ringi
Jafesc08
good music. real life
ashirafddg8c
DUDE[0x1f60d][0x1f608]
Eliada Thomashyhf2
on fire never give up
codaharxh
wanangu wa mtaniii never give up .....
Bituro mtesigwawgihc
hii ni balaaaaa
chaomy official
wapo wanaotaka tudondoke , never give up keep on waitin
chaomy official
kazi nzuri , huyu kiitikio kanikosha sanaaa. ngoma kali wanangu keep it up buddy
familia