Kweli ft. Biro zadoki Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Kweli ft. Biro zadoki - Zack chriss
...
wanangu tu kibao washakata lingi
kama jese jonathan tulipanga vingi
rest in peace uncle John umelala dingi
wanangu waliobakia nawaombea miaka mingi
Baba
wanangu tu kibao wako kama mimi
Wamehitimu elimu ya juu yani kama mimi
familia zetu maskini kama nini walisomeshwa kwa mikopo yani kama mimi
Ani huwezi amini kila kitu kili uzwa ili nisome mimi mana waliamini
elimu ndo msingi wa maisha utanitoa mimi
look God nishasambaza CV Kila kampuni hola
it’s to bad mana nahisi kama kila mtu ananichora
class nilikua bora
ila kwa mtaa naongoza kwa kuchapwa bakora
'' Chorus’’
Kwa wanangu wa mtaani
nyumbani bado life halijanyoka
ukiwa kwenye fan Gerezani
Hard life keep on try
Never give up keep on waiting..waiting
Never give upkeep ontrusting..trusting
Give love Give love give love give love to ma hommie
Ahhhh
Japo shida nikibao but i can’t quit
am not weak mpaka siku hiyo nitayo win
Mana hata nikisema ni stop
Nyumbani nategemewa na mimi ndo yao hope
so ukituona hapa town tunavuja jasho simu hatushiki tuko bize tuna hasoo
24 Seven tuko macho
bila siraha hutobi hii battle
Now i take one hand Kwa wanangu wa mtaa
wanao pambana familia zao zisife njaaa shida na balaa
ila hatukati tamaaa
two time kwa wanangu wenye vyeti
wekeni ndani njooni tupige mitikasi
Wapo wanaotaka tudondoke
ila Baba bado yupo nasi sote
tutapata tunacho taka aiiiii ipo siku tutapata
'`chorus’’
Kwa wanangu wa mtaani
nyumbani bado life halijanyoka
ukiwa kwenye fan Gerezani
Hard life keep on try
Never give up keep on waiting..waiting
Never give upkeep ontrusting..trusting
Give love Give love give love give love to ma hommie
By Zack chriss x Bilo zadoki