Mshua ft. Linah
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Mshua ft. Linah - Nay Wa Mitego
...
Kwenye familia ww ndio kichwa
Na tuliona ulivyopambana
Lakini mimi na wadogo zangu bado tulisema hivi nani kama mama
Kuna kipindi home ulilala saa tisa
Alafu unaamka asubuhi sana
Bado vitu usipokamilisha ata viwe vidogo tunakupa lawama
Tulizaliwa home hakuna tv
Hakuna feni hakuna ac
Kwa jirani ndo kuna tv
Ulisema tuvumilie haituingii
see lyrics >>Similar Songs
More from Nay Wa Mitego
Listen to Nay Wa Mitego Mshua ft. Linah MP3 song. Mshua ft. Linah song from album Mshua is released in 2023. The duration of song is 00:03:38. The song is sung by Nay Wa Mitego.
Related Tags: Mshua ft. Linah, Mshua ft. Linah song, Mshua ft. Linah MP3 song, Mshua ft. Linah MP3, download Mshua ft. Linah song, Mshua ft. Linah song, Mshua Mshua ft. Linah song, Mshua ft. Linah song by Nay Wa Mitego, Mshua ft. Linah song download, download Mshua ft. Linah MP3 song
Comments (11)
New Comments(11)
Wales ngoda Ngodana7t6
Victor Kaunda
wonderful song aisee
Richard Nyemba Jr
Ni kweli ni bora useme ww maana tunajizima sana data kuhusu Mshua
Bryson Noel
umetisha raisi wa kitaa
juma mbawalacuunl
Kabisa
Young boy@2003
nice song to me aiseee asante mr true boy
mgosisheby
hakika nani kama baba asante kwakututetea umeniimba kabisa nalala saa tisa naamka kumi na moja daah
Ødegaard 8
Hakika umefanya kitu cha pekee sana maana wengi wanaona Mama ni mhimu sana wanamsahau Baba
138190047
Umetisha raaaaaaais #upewe mauwa yako
IQ7lsv0
og sana[0x1f608][0x1f608][0x1f608][0x1f608]
123838558
wakikua wanaimba nani kama mama!
mshua nimekwelewa sana