- Genre:Trap
- Year of Release:2023
Lyrics
Hofu imewajaa ona!! we ona!!
hawana hamu nami ona!! we ona!!
Kona nazopita muhuni ngumu kwao hawawezi kuwa mi D labda waikane miungu yao,
Hofu imewajaa ona !! we ona!!
Hawana hamu nami ona!! we ona!!
Kona nazopita muhuni ngumu kwao hawawezi kuwa mi D labda waikane miungu yao,
Miko naivunja waliyoiweka mbele yao,
Nawaonesha nguvu yangu ya Mungu wangu sio mungu wao,
Mungu wangu sio ndezi ndezi ka alivyo wao washenzishenzi,
Wamefichwa njia hawaniwezi mjenzi kwa tungo tata mi mjenzi jenzi,
Naijenga nchi kwa kuntu tenzi kwa flow tamu flow telezi,
see lyrics >>Similar Songs
More from DieNo
Listen to DieNo Hofu MP3 song. Hofu song from album HATUA is released in 2023. The duration of song is 00:05:40. The song is sung by DieNo.
Related Tags: Hofu, Hofu song, Hofu MP3 song, Hofu MP3, download Hofu song, Hofu song, HATUA Hofu song, Hofu song by DieNo, Hofu song download, download Hofu MP3 song