Unanipenda
- Genre:Trap
- Year of Release:2023
Lyrics
Hivi unanipenda unanipenda,
Unanichukia niweke wazi hapo utajenga,
Usiposema unanipenda nikienda mbali nawe utabomoa hutojenga,
Nikienda sitorudi
Naapa chini ya hizi mbingu hizo wingu sitoona tena,
Ntaamisha upendo toka kwako kwenda kwengine itakuchoma sana,
Kwakuwa ukweli umeuvisha giza umeufanya siri inayoumiza,
Umenipa homa inayoniliza, usiku mchana nakosa raha nakosa amani na hilo giza,
Nakosa jibu kwenye giza, nifanye nini unayeniumiza,
Sina budi kujitibu kwa tabibu hatoharibu niepuke giza,
Hizo shida sizitaki tena, nataka nipate amani ndani ya moyo bila shirki,
see lyrics >>Similar Songs
More from DieNo
Listen to DieNo Unanipenda MP3 song. Unanipenda song from album HATUA is released in 2023. The duration of song is 00:04:17. The song is sung by DieNo.
Related Tags: Unanipenda, Unanipenda song, Unanipenda MP3 song, Unanipenda MP3, download Unanipenda song, Unanipenda song, HATUA Unanipenda song, Unanipenda song by DieNo, Unanipenda song download, download Unanipenda MP3 song